GE2025 Maajabu kuelekea uchaguzi mkuu Octoba, 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
CCM B wanaendelea kucheza michezo na ccm A yote hii ni michezo tuu. Msajili aonekana ana meno.
 
Chadema hawana mgombea. Hakuna mabadiliko hakuna uchaguzi, au wamebadili msimamo wao?

Ila walisema hawasusii uchaguzi.

Officially, waliowaengua Chadema kwenye huu uchaguzi ni CCM kupitia vyombo vyake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…