Maajabu: Maiti yagoma kuzikwa, yakunja ngumu, ushirikina watawala

Maajabu: Maiti yagoma kuzikwa, yakunja ngumu, ushirikina watawala

digba sowey

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2017
Posts
8,926
Reaction score
17,880
Waombolezaji wa msiba katika kijiji cha Shambarere, Jimbo la Kakamega nchini Kenya wameshuhudia kisa cha maiti ambayo ilitakiwa ikazikwe, lakini ikashindikana baada viungo vyake vya mkononi kukunja ngumi kwa madai ya kutaka kulipwa mahari yake.

Baada ya mazungumzo baina ya pande zote mbili kutoka kwa mume aitwaye Malimu na wazazi wa marehemu, zilidai maiti hiyo ilikuwa haijalipiwa pesa za mahari.

Kwa upande wa familia za mume huyo walikubali kulipa pesa ya mahari hiyo na baada ya hapo maiti ilikubali kukunjua mikono yake ambayo ilikuwa imekunja ngumi, kisha wazee kufanya maombi na mwili huo kuzikwa.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa alinyoosha mikono kama katuni wakonyagi


Siku nyingine Paka glisi hiyo mikono kisha njoo na wheel spana virigisha hiyo mikono halafu uje unishukuru baadae
 
Back
Top Bottom