Mwambie afanye hayo maajabu hapo juuLegendary, god of football!! Hapa mpaka kipa wa dunia alikubali mziki wake!!
View attachment 734848
Ubora upi ikiwa 2014 alikuwa mchezaji bora wa kombe la duniaMchezaji ambaye ukimwambia ligi... Atakutajia LA liga, maana hajawahi kucheza ligi nyingine,
Ukimuuliza club, atakwambia Barcelona maana hajui test ya kucheza club nyingine,
Mchezaji ambaye ameshindwa ku prove ubora wake akiwa nje ya Barcelona kwa ngazi ya club na timu ya Taifa.
Appreciation, hii roho watu weusi hatunaLegendary, god of football!! Hapa mpaka kipa wa dunia alikubali mziki wake!!
View attachment 734848
Hebu povu lao wakafulie nguo huko wamsubiri Liverpool awaoneshe njia ya kurudi Hispania [emoji23][emoji23]Wameshaanza kuja
Mchezaji ambaye ukimwambia ligi... Atakutajia LA liga, maana hajawahi kucheza ligi nyingine,
Ukimuuliza club, atakwambia Barcelona maana hajui test ya kucheza club nyingine,
Mchezaji ambaye ameshindwa ku prove ubora wake akiwa nje ya Barcelona kwa ngazi ya club na timu ya Taifa.
Kwa uelewa wako kucheza ligi ya EPL ni sawa na kucheza Mechi za UEFA ambazo kwa mwaka mara moja anakutana na timu ya EPL au pengine asikutane nayo kabisa."Mti wenye matunda siku zote hupigwa mawe"
Unataka aende club ipi yenye hadhi kwake na yenye uwezo wa kumlipa pesa nyingi kama ambavyo wanavyomlipa Barcelona? Au wa Kwa akili zako unataka aende epl/mchangani team!!! Mbona tim zote kubwa za pale kishazibandua, unataka aonyeshe ubora upi sasa? Wabongo bana tunakazi kweli kweli ππππ
Mancity kaondoka na wake 6
Man u=wake wa 3
Arsenal wake 9
Chelsea wake 3
Jumla kishaowa wake 21...