Kwani itatakiwa Messi akapimwe akili kujua ka yuko sawa, Yani Messi kwa ubora aliyonao eti aende akachezee man u, Asernal, Liver nk atakua wa ajabu, clab kubwa duniani ambazo kila mchezaji anayetaka mafanikio anataka kuchezea ni Barca na MadridMchezaji ambaye ukimwambia ligi... Atakutajia LA liga, maana hajawahi kucheza ligi nyingine,
Ukimuuliza club, atakwambia Barcelona maana hajui test ya kucheza club nyingine,
Mchezaji ambaye ameshindwa ku prove ubora wake akiwa nje ya Barcelona kwa ngazi ya club na timu ya Taifa.
Sasa Leo messi ikimuuliza clab gani unataka ataje tofauti na Barcelona.
WORLD CLASS PLAYER WANACHEZA WANACHEZA WORLD CLASS CLUB