Alfu Lela Ulela
JF-Expert Member
- Oct 29, 2010
- 1,255
- 77
Huu ni mwezi May mwishoni, zimebaki siku 8 tu kuuanza mwezi June. Matokeo ya form six hayajatoka, AJABU. kwa kawaida matokeo haya hutoka Mwezi April mwishoni au May mwanzoni, lakini tunajtaribia mwezi June na matokeo bado. What does it mean???
wanasuabiri mafunzo ya jkt yaishe kwanza.yakitoka yanaweza waharibu walioko mafunzoni jkt.
Huu ni mwezi May mwishoni, zimebaki siku 8 tu kuuanza mwezi June. Matokeo ya form six hayajatoka, AJABU. kwa kawaida matokeo haya hutoka Mwezi April mwishoni au May mwanzoni, lakini tunajtaribia mwezi June na matokeo bado. What does it mean???
una haraka gani? chuo mwezi wa tisa itakuchukua miezi mingapi kuomba chuo? siku hz n on line andaa fifty ya tcu na thirty ya heslb. mbululakiukweli nchi hii sijui inatupeleka wapi?!, aya bhana hatuna chakufanya zaidi ya kusubiri japo mtaani siku hizi tunaambulia maneno ya kejeli