Kama uliiangalia unaweza kuniambia yule Partriach wa Armenia pale Jerusalem aliongea nini kuhusu kusulubiwa Yesu na biblia inasema nini ?Unadhani hiyo clip wewe mi wa kwanza kuiangalia? Nimeshaiangalia hiyo na nyingine nyingi na zaidi nikafiatiloa jadi hao waandaaji
Lazima ujue kwamba, Kanisa la Arminia ni miongoni na mwa Makanisa ya kale kabisa, pia msimamo wa Kanisa la Armenie juu ya kusulubiwa Yesu ni uleule unaopatikana kwenye Injili.Kama uliiangalia unaweza kuniambia yule Partriach wa Armenia pale Jerusalem aliongea nini kuhusu kusulubiwa Yesu na biblia inasema nini ?
Lazima ujue kwamba, Kanisa la Arminia ni miongoni na mwa Makanisa ya kale kabisa, pia msimamo wa Kanisa la Armenie juu ya kusulubiwa Yesu ni uleule unaopatikana kwenye Injili.
Na sijui Patriach unayemuongelea wewe ni yupi, ni huyu Nourhan Manougian saliyeposasa au mwingie?
Kumekuwepo na malalamiko kadhaa kutoka kwa Patriach kuhusiana na mambo mbalimbali ya kihistoria pale Israel, lakini yote yalikuwa ni maoni, kamwe hayakuwahi kuwa mafundisho na hakupingana na Biblia.
Inaonekana hata maana ya Patriach hujui, nikujibu nini sasa wakati hata ulichokiangalia haujui kina maanisha nini isipokuwa umekiangalia na kusikia kwa akili za kishabiki tu.Nakuuliza tena kuhusu hiyo clip , Kama kweli uliiangalia , jibu swali tafadhali usicheze mdundiko
Kama uliiangalia unaweza kuniambia yule Partriach wa Armenia pale Jerusalem aliongea nini kuhusu kusulubiwa Yesu na biblia inasema nini ?
Unaendelea kucheza mdundiko, Hakuna mahali nilisema najua maana ya PartriachInaonekana hata maana ya Patriach hujui, nikujibu nini sasa wakati hata ulichokiangalia haujui kina maanisha nini isipokuwa umekiangalia na kusikia kwa akili za kishabiki tu.
Siwezi nika quote kiyu ambacho hakipo
Inaonekana uwezo wak wa kuelewa ni mdogo sana. Nimeweka wazi kwamba siwezi nika quote kitu ambacho hakijaongelewa. Ulipaswa kuelewa hapo. Ila wewe unang'ang'ania utakavyo.Unaendelea kucheza mdundiko, Hakuna mahali nilisema najua maana ya Partriach
Jibu swali please
Kama uliiangalia unaweza kuniambia yule Partriach wa Armenia pale Jerusalem aliongea nini kuhusu kusulubiwa Yesu na biblia inasema nini ?
Inadhihitisha wazi hujaangalia kitu unaongopa mchana kweupe
Inaonekana uwezo wak wa kuelewa ni mdogo sana. Nimeweka wazi kwamba siwezi nika quote kitu ambacho hakijaongelewa. Ulipaswa kuelewa hapo. Ila wewe unang'ang'ania utakavyo.
Haya hebu twende utakavyo ;
Patriach wa Armenia pale Jerusalem amesisitiza umuhimu wa ufufuo wa Yesu kuliko kujikita kwrnye mateso na kusurubishwa kwake.
Kwa kukuongezea: Kuna wengi kama wewe hawakuielewa kauli hiyo na George Hintlian, ambaye ni msaidizi wa Patriach alikuja baadaye kufafanua kwamba kwa mujibu wa Armenian Apostolic Church’s theology, hujikita zaidi kwenye ufufuo.
Siwezi kunasa, sababu siwezi nikaongea kitu ambacho hajawahi kukiongea popote. Kwa alisurubiwa na watu fulani wewe ndiyo unaona ni big deal? Mimi nimekwenda mbele zaidi ya ulipoishiaPacka ninja umenasa pabaya na uongo wako , nilikuwekea mtego lakini tu umeingia hata bila chambo, hujaangalia clip unakuja na midundiko
Kama uliiangalia unaweza kuniambia yule Partriach wa Armenia pale Jerusalem aliongea nini kuhusu kusulubiwa Yesu na biblia inasema nini alipokutana na huyo Dr ?
UmeandikaSiwezi kunasa, sababu siwezi nikaongea kitu ambacho hajawahi kukiongea popote. Nilichofanya ni kukuwekea maneno halisi aliyowahi kuongea. Hiyo link uliyoiweka nilishaiona huenda kabla hata wewe haujaiona
Unapinga uhalali wa vitabu vya kihistoria halafu unaamini kwamba Muhammad alikwenda mbinguni kwa punda na pia unaamini uwepo wa bikra 72.Hao ni waliokutafsiria hiyo biblia ndivyo walivyoandika
Jibu unalolitaka hali save chochote, ndiyo maana badala ya kukujibu kwamba alisurubiwa na watu fulani.Umeandika
Patriach wa Armenia pale Jerusalem amesisitiza umuhimu wa ufufuo wa Yesu kuliko kujikita kwrnye mateso na kusurubishwa kwake.
Yaani hayo uliyoandika hapo juu, unajianika kabisa kuwa hujaangalia kitu , inasikitisha kijana wa kikrusto unajiaibisha kiasi hiki
Pole sana
Copy and paste!Hao wote wanaelezea hisia zao na minyukano ya maoni, shida iko wapi wengine wakielezea wajuacho? Watu wameandika based on researches na available evidence, wewe unataka kupinga kwa kutumia hisia za wengine.
Hii akili ya wapi?
Unapinga uhalali wa vitabu vya kihistoria halafu unaamini kwamba Muhammad alikwenda mbinguni kwa punda na pia unaamini uwepo wa bikra 72.
Na unabusu jiwe jeusi linalofanana na mbususu.
Hatari kweli kweli
Usidanganye hujaangalia chochote ,Jibu unalolitaka hali save chochote, ndiyo maana badala ya kukujibu kwamba alisurubiwa na watu fulani.
Ulichokiona na ku share ni ka kipande kadogo tu. Mimi nimeona the whole thing, so nimejibu kile alichoongea kwa undani amnayo wewe haujayasikia ndiyo maana unalazimisha hicho kidogo ukijuacho
Hakuna Patriach aliyewahi kuongea kitu kama hicho popote pale. Narudia tena HAKUNAUsidanganye hujaangalia chochote ,
Nitakuambia Partriach alichoongelea ni kuwa Bible aliyonayo yeye ambayo ni ya zamani sana inasema Yesu hakusulubiwa wala hakufa , hata yule professor akamshangaa , akazidi kumuuliza kwa nini hawawaelezi watu ?
Hujaangalia video u singalikuja na maneno yako ya uongoHakuna Patriach aliyewahi kuongea kitu kama hicho popote pale. Narudia tena HAKUNA
Nimekwambia mapema kabisa kuwa siwezi ku quote kitu ambacho hakikungelewa naye, na ninarudia maneno hayakuwahi kutamkwa naye na hayapo kwenye record yoyote ile.Hujaangalia video u singalikuja na maneno yako ya uongo
Kuna maneno yalosemwa hapo kuwaWadau hamjamboni nyote?
Maeneo ya mlima Hermon yametekwa na IDF kuanzia siku aliyekuwa Rais wa Syria Asad kupinduliwa
Yapo mengi kuhusu maajabu na umuhimu wa mlima Hermon kwa mujibu wa Biblia.
•Mtume Petro alikiri kwa kunywa chake kuwa na kutamka kuwa Yesu ndiye mwana wa Mungu aliye hai Mathayo 16:16
•Wakanaani walitumia mlima huo kujenga mahekalu ya kuabudu miungu yao ya baali
•Joshua aliwaongoza Wana Israel kupambana na Ogu mfalme wa Bashan. Kwenye vita hiyo mfalme Ogu na Jeshi lake waliangamizwa kabisa
•Kwa mujibu wa kitabu cha Henoko kwenye mlima Hermon ndiko wale malaika walinzi waliapa kuja duniani na kuwaingilia Binti za wanadamu
• Mlima mrefu kabisa kwenye eneo hili urefu futi 9,233 sawa na mita 815 juu ya usawa wa bahari.
•Mlima huu unajulikana pia kwa majina ya mlima wa barafu, mlima Sirion/ Senir na "the Grey-Haired Mountain"
.
Nimekwambia mapema kabisa kuwa siwezi ku quote kitu ambacho hakikungelewa naye, na ninarudia maneno hayakuwahi kutamkwa naye na hayapo kwenye record yoyote ile.