Maajabu: Mtoto azaliwa na makalio matatu, mama yake alia akiomba msaada

Maajabu: Mtoto azaliwa na makalio matatu, mama yake alia akiomba msaada

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363
[h=3]MAAJABU: MTOTO AZALIWA NA MAKALIO MATATU, MAMA YAKE ALIA AKIOMBA MSAADA[/h]



Maajabu ya uumbaji yamemfanya mama mzazi wa Xiao Wei ambaye ni mchina amwage machozi akiomba msaada wa kunusuru maisha ya mwanae mwenye umri wa miezi 7 aliyezaliwa na makalio matatu...


Kalio la tatu lipo kama mkia mfupi, wenye urefu wa sentimita 8 ( 8 cm ), katikati ya makalio mengine mawili.
Akiongea kwa uchungu, mama mzazi wa mtoto huyo amedai kuwa kwa muda mrefu amekuwa akiwaomba madaktari wafanye upasuaji wa ---- hilo lakini wao wamekuwa wakimjibu kuwa hiyo si kazi nyepesi kama anavyodhani....
"Tukilikata litaota tena, hivyo hatutakiwi kukurupuka na badala yake tutakiwa kupata muda wa kupitia vitu vingi ukiwemo mrija wa uti wa mgongo ambapo kalio hilo limejiegesha"...Alisema daktari mmoja akimjibu mama huyo



MAAJABU: MTOTO AZALIWA NA MAKALIO MATATU, MAMA YAKE ALIA AKIOMBA MSAADA - MPEKUZI HURU
 
Kwa kawaida, hayaitwi 'makalio' ..bali ni kutokakilika vizuri/kukamilika vibaya kwa viungo kutokana na sababu mbalimbali, zikiwamo mazingira, kutopata 'dawa' mbalimbali wakati wa ujauzito, kujitokeza/kuendeleza kwa familia n.k.

Na matatizo haya huitwa Spina Bifida, Spina bifida occulta, Cystica n.k lake ni SI makalio matatu, mkia kama ichukuliwavyo.
 
Back
Top Bottom