maajabu na Kweli One Queen & 11 Presidents...

maajabu na Kweli One Queen & 11 Presidents...

FirstLady1

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2009
Posts
16,789
Reaction score
5,401
1queen-11-US-Presidents.jpg
 
Haka kabibi bado hakajafa?
Amekula chumvi nyingi sana huyu.
 
Mungu mbariki aonane na yule atakayekuja baada ya Obama pia...
Umri ni baraka zitokazo kwa Mungu direct, na ni wachache hukirimiwa!
 
Eh amekula chumvi kweli MUNGU amzidishie maisha marefu zaidi. Amen
 
Ajabu ni nini hapo?

Hakuna ajabu, hii Royal Family bana, kula kulala, na nafasi ya "kwini" ukiingia kutoka mpaka uufe!. Walipa Kodi wote wa Uingereza na "dominions" zake zote ni "watu wake" kama ilivyokuwa kwa wa Malawi Enzi za Dr. Ngwazi Kamuzu Banda (President wa Muyaya*) kwa nini asiishi maisha marefu kiivyo, hazatokea kwenye tabu, anaishi pasipo tabu na atakufa na kuzikwa bila tabu?...



*President wa Muyaya = Rais wa Maisha.
 
Tatizo muda si mrefu ataanza kuuliza watoto wake hivi wewe unaitwa nani au ah wewe mume wangu Philips ilihali ni mjukuu wake Prince William
 
Haka kabibi bado hakajafa?
Amekula chumvi nyingi sana huyu.

...msimuue bure mama wa watu! sio mkubwa kiasi cha kutisha. Ni mzee sana lakini sio kiasi cha kutisha. Ni mdogo kuliko Mandela kwa miaka NANE. Ana miaka 83 sasa...🙄
 
usishangae baba huyo bibi haumwa na mbu hata mmoja na wala hajui malaria yanafananaje,hashiki jembe wala panga kazi yake ni kula na kulala akifanya kazi kubwa ni kusaini tena mara moja kwa miezi kadhaa kwa nini asiishi?
 
du hongera zake ana miaka mingapi sasa ?
Elizabeth II (Elizabeth Alexandra Mary; born 21 April 1926) is the [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Queen_regnant"]Queen regnant[/ame] of sixteen independent [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Sovereign_state"]sovereign states[/ame] known informally as the [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Commonwealth_realm"]Commonwealth realms[/ame]: the [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/United_Kingdom"]United Kingdom[/ame], [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Canada"]Canada[/ame], [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Australia"]Australia[/ame], [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/New_Zealand"]New Zealand[/ame], [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Jamaica"]Jamaica[/ame], [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Barbados"]Barbados[/ame], [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/The_Bahamas"]the Bahamas[/ame], [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Grenada"]Grenada[/ame], [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Papua_New_Guinea"]Papua New Guinea[/ame], the [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Solomon_Islands"]Solomon Islands[/ame], [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Tuvalu"]Tuvalu[/ame], [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Saint_Lucia"]Saint Lucia[/ame], [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Saint_Vincent_and_the_Grenadines"]Saint Vincent and the Grenadines[/ame], [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Belize"]Belize[/ame], [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Antigua_and_Barbuda"]Antigua and Barbuda[/ame], and [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Saint_Kitts_and_Nevis"]Saint Kitts and Nevis[/ame]. She holds each [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/The_Crown"]crown[/ame] separately and equally in a shared monarchy, as well as acting as [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Head_of_the_Commonwealth"]Head of the Commonwealth[/ame], and [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Supreme_Governor_of_the_Church_of_England"]Supreme Governor of the Church of England[/ame]. As a [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Constitutional_monarchy"]constitutional monarch[/ame], she is politically neutral and by convention her role is largely ceremonial.<sup id="cite_ref-0" class="reference">[1]</sup>
When Elizabeth was born, the [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/British_Empire"]British Empire[/ame] was a pre-eminent world power, but its influence declined, particularly after [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/World_War_II"]World War II[/ame], and the empire evolved into the modern [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Commonwealth_of_Nations"]Commonwealth of Nations[/ame]. Her father, [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/George_VI_of_the_United_Kingdom"]George VI[/ame], was the last [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Emperor_of_India"]Emperor of India[/ame]. On his death in 1952, Elizabeth became Head of the Commonwealth, and queen of seven independent Commonwealth countries: the United Kingdom, Canada, Australia, New Zealand, [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Union_of_South_Africa"]South Africa[/ame], [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Dominion_of_Pakistan"]Pakistan[/ame], and [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Dominion_of_Ceylon"]Ceylon[/ame], later renamed [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Sri_Lanka"]Sri Lanka[/ame]. During her reign, which at 57 years is [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/List_of_longest_reigning_monarchs_of_the_United_Kingdom"]one of the longest for a British monarch[/ame], she became queen of 25 other countries within the Commonwealth as they gained independence from Britain. She has been the sovereign of 32 individual nations, half of which later became [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Republic"]republics[/ame].
Elizabeth married Prince Philip, Duke of Edinburgh, in 1947. The couple have four children and eight grandchildren. kimama hichi kina Umri wa miaka 83 21 April 1926 (1926-04-21) (age 83)
 
Mmh,MUNGU kampendelea sana.Hata Tanzania tunaye wa kwetu...Mama Maria Nyerere....
 
Back
Top Bottom