Lycaon pictus JF-Expert Member Joined Jan 31, 2021 Posts 9,189 Reaction score 16,128 Nov 20, 2022 #1 Eti wakuu, maajabu na miujiza ni vitu gani? Ni vitu vinavyotokea vikipingana na sheria za ulimwengu au ni mambo yanayotokea lakini tunashindwa kuyaelezea kutokana na uelewa wetu? Je kitu kinaweza kutokea na kupingana na sheria za ulimwengu/fizikia.
Eti wakuu, maajabu na miujiza ni vitu gani? Ni vitu vinavyotokea vikipingana na sheria za ulimwengu au ni mambo yanayotokea lakini tunashindwa kuyaelezea kutokana na uelewa wetu? Je kitu kinaweza kutokea na kupingana na sheria za ulimwengu/fizikia.