ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 6,096
- 16,390
Jf ni jukwaa lililojaa kina aina ya radha na burudani, sema kwa sasa kuna baadhi ya wajinga wachache ambao wana taka kuigeuza kuwa jukwaa la kutukanana na kukashifiana kwa misingi ya dini na kisiasa.
(1)Jf ndo sehemu pekee ambayo unaweza kubishana jambo fulani na mdingi wako bila kujuana mpaka mkazinguana na mwishowe mkaitana vilaza [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].
(2)JF ndo sehemu pekee ambayo unaweza kubishana na bosi wako Mpaka mkazinguana mkaanza kuitana mafala.
(3)Jf ndio sehemu pekee ambayo aslimia 80 wanaume wanamiliki pisi kali ,gari kali, nyumba kali.
(4)Jf ndo sehemu pekee ambayo unaweza kujadiliana hata na mkuu wako wa nchi au mwenye mamlaka makubwa ndani ya nchi yako bila kujua, furusa ambayo ambayo kwa mazingira ya kawaida huwezi pata furusa hiyo.
(5)Jf ndo sehemu pekee ambayo hata msukuma toroli ana muita Mo Dewji kuwa ni tajiri wa michongo,Tundu Lisu mganga njaa.
Kiufupi jf ina vituko vingi sana siwezi kuvimaliza, na ww weka vituko vya JF tende sawa.