Labani og
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 19,637
- 29,473
Jonathan Sowa Amecheza Dakika 72 ligi kuu na Ana Goli moja
Deus Kaseke Amecheza Dakika 6 ligi kuu na Ana Goli Moja
Elie Mpanzu Amecheza michezo jumla 10 hana hata Goli la Offside
Kibu Denis Ana miaka 2 hana Goli wala Assist [emoji38]
Hii Ina maana Gani Kwa bodi ya usajili ya makolo ikiongozwa na boss magoli[emoji23][emoji23]
#HapaniHabariSahihiTu
#MpiraWaAfrika...
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app