Kuleta mada ya kuwajadili Mpanzu na Kibu kisa mkulima wa Pamba kaifunga Azam baada dk ni wazi mtoa mada yupo katika kundi la mazwazwa wa kandanda aka wafua jezi za GSM.
Hii ni kumaanisha kuwa wafua jezi za GSM hawalali wapo jicho kodoo kuwafatilia wababe wa soka.
Mwache Laban og aendelee kujizeesha kwa nyuzi za kizwazwa tu.