Maajabu, TTF yalaani kudaiwa hadharani

Karia .ni tapeli kama matapeli wengine, hamna kitu eti anapita bila kupigwa au aliogopa ushindani tu
 
Karia .ni tapeli kama matapeli wengine, hamna kitu eti anapita bila kupigwa au aliogopa ushindani tu
... Tff matapeli sanaaa. Huyo mdeni amejaribu njia zote za kistaarabu za kukumbushia deni lake lakini jamaa wanampiga chenga za mwili. Mara hawapokei, hawajibu Meseji, hawaruhusu mdeni kumwona KARIA(koo) na kadhalika. Waumbuliwe tuu
 
Naona jamaa kaona bora tu ajilipue baada ya kuona wakina Karia wanaleta uswahili wa kumtaka kumzika deni lake!

Najua baada ya kulipwa hiyo fedha, ndiyo basi tena! Ulaji kupitia Tff atausikia tu kwa majirani. Ila milioni 76 usawa huu, si haba!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…