Kitambi chakufutia tachi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2019
- 1,063
- 2,566
SALAAM WAKUU.
Kila nikitazama orodha ya wachezaji wanaowania tuzo mbalimbali msimu huu napigwa na butwaa.
Naona hawa TFF wamewaweka baadhi ya wachezaji ili kusawazisha ule Usimba na uyanga ila sio kwa kutazama msaada walioutoa kwa timu zao katika msimu uliopita.
Nashangaa kumuona Feisal Salum katika orodha ya wanaowania uchezaji bora halafu simuoni Idy Nado na Luis hivi ni kitu gani alichofanya Feisal kuwazidi wawili hao.
Yan Fei mwenye magoli 5 na pasi za magoli 4 niwakuwepo kwenye kinyang'anyiro mbele ya nado mwenye magoli 11 na pasi za mabao 9 au mbele ya Luis mwenye mabao 10 na pasi za mabao 9?
au Dickson Job alifanya kitu gani kumzid Abdulmajid Mangalo?
TFF MSIFANYE MAMBO KWA AJILI YA KUWARIDHISHA UTOPOLO KWA KUWA WANACHONGA NGENGA SANA MTAHARIBU FANYENI VITU KULINGANA NA UHALISIA ULIVYO LA SIVYO KWA HUU UJINGA WENU WA KUTAKA KUBALANSI USIMBA NA UUTOPOLO HATUTAENDELEA KAMWE.