maajabu! twiga mwingine aonekana.

1academ

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2016
Posts
2,316
Reaction score
3,567
aisee kila leo wanyama wa ajabu ajabu wamekua wakionekana huko mbugani mazee, alianza twiga albino, leo kaonekana wa colored dah!
 
utalii unaenda kupaaa mazee😎ni sheeedah..
 
Waje kuwaona ilmradi waachie mpunga...
 
Huyo twiga mweupe ni mgonjwa au? Kapoteza uzuri wote wa kuwa twiga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…