Maajabu: World Cup 2018 ilitazamwa na watu bilioni 3, Simba bilioni 5

Maajabu: World Cup 2018 ilitazamwa na watu bilioni 3, Simba bilioni 5

Gordian Anduru

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2021
Posts
369
Reaction score
747
Mpaka sasa World Cup 2018 ndiyo inashikilia rekodi ya kutazamwa na watu wengi ambapo jumla ya watu bilioni 3.5.

Source: More than half the world watched record-breaking 2018 World Cup

Hata hivyo imedaiwa kuwa Klabu ya Simba katika mechi zake za CAFCL na kampeni ya visit Tanzania wametazamwa na watu bilioni tano kama hili ni kweli basi Simba wamevunja rekodi ya dunia.

Takwimu kamili WC 2018 pakua pdf hapo chini
 
Attachments

Tafiti hupi
Mpaka sasa World Cup 2018 ndiyo inashikilia rekodi ya kutazamwa na watu wengi ambapo jumla ya watu bilioni 3.5

Source: More than half the world watched record-breaking 2018 World Cup

Hata hivyo imedaiwa kuwa Klabu ya Simba katika mechi zake za CAFCL na kampeni ya visit Tanzania wametazamwa na watu bilioni tano kama hili ni kweli basi Simba wamevunja rekodi ya dunia.

Takwimu kamili WC 2018 pakua pdf hapo chini
Tafiti hupingwa kwa Tafiti, Kwanza Unajua kampeni ya VISIT TANZANIA IMEANZA LINI? ZIMECHEZWA MECHI NGAPI KWENYE NCHI ZIPI? NI TIMU NGAPI HADI SASA ZIMECHEZA NA SIMBA KWA KAMPENI YA VISIT TANZANIA??
HIZO TIMU ZINA FANS BASE YA AINA IPI? NI NJIA IPI ILITUMIKA KUFANYA UTAFITI? TAKWIMU ZIMEKUSANYWAJE?
 
Tafiti hupi
Kwanza Unajua kampeni ya VISIT TANZANIA IMEANZA LINI? ZIMECHEZWA MECHI NGAPI KWENYE NCHI ZIPI? NI TIMU NGAPI HADI SASA ZIMECHEZA NA SIMBA KWA KAMPENI YA VISIT TANZANIA??
HIZO TIMU ZINA FANS BASE YA AINA IPI? NI NJIA IPI ILITUMIKA KUFANYA UTAFITI? TAKWIMU ZIMEKUSANYWAJE?
kwa hiyo nani ana fan base ya angalao milioni 100 let alone bilion
 
watu zaidi ya bilion nne walifatilia msiba wa mwebdazane
Screenshot_20220327-122315_Chrome.jpg
 
Makolo ni mbumbumbu, bila shaka wataamini.

Ni mwendo wa kudanganywa tu, sababu wanajua hawana uwezo wa kufikiri Mfano Bil 20 + Bil 25 = Bil 85
 
Mleta mada huna akili na umejaa wivu
 
Yaani hakuna mtangazaji kilaza kama privadinho Tanzania yeye ndo kasababisha yote haya maana kashindwa kumuelewa waziri kiufupi yule waziri alifafanua kuwa ni TOTAL viewers sio single viewers kwenye mechi moja ni jumla ya viewers katika mechi za simba walizocheza kama kuna kipindi MILLARD ayo alishinda tuzo ya kuwa na viewers nyingi barani Africa general sio video moja moja sawa utopolo endeleeni kumsikiliza kilaza privadinho.
 
Back
Top Bottom