Sasa je hujui kua binadamu tuna Uungu ndani yetu?
Inaanza Roho ndio unakuja mwili
Yaani binadamu ni Spirit and fresh ila kutokana na Adamu kua corrupted na Evil ikapelekea tukaanguka kiroho na kubaki mwili
Ni Yesu Kristo pekee alikuja kutufunulia siri ya Uungu akisema Mungu yupo ndani yetu ikiwa na maana ukikubali hilo na kuchukua hatua ya kuamini unamwamsha Roho Mtakatifu aanze kutenda kazi katika Asili Yako ya Mwanzo hivyo unarudi kua Immortal na ukikataa means hutaweza na Roho Yako itapotea in darkness maana Yesu alitoa siri wewe unakubali na kuchukua hatua halafu Roho Mtakatifu anadhihilisha hivyo kukubali ukweli huo ndio kipengele na ndio maana watu wanahubiriwa Injili Ili wajikomboe kutoka katika giza wao wenyewe binafsi,
Na ndio maana utaona baadhi ya watu wapo power Spiritual yote ni wamejitambua
(Salvation through Lord Jesus Christ)