Maajabu ya baharini

Kwa kuongeza hapo Kuna haya maji tunayo away mikono kwenye mijumuiko labda ya msiba na hata migahawani. Yemeonekana kuwa yanahitajika huko kwa watu fulani. Inawezekana nimewahi kuelezwa ila mimi sijakutana na maelezo
 
Dunia ina mengi sana, khs hayo maji niliwahi kusikia
 
Interesting
 
Kuna documentary moja niliona kuna samaki wanashindana kubeba yale majumba ya konokono wa bahari,mwenye mengi anamvutia samaki jike kuja weka mayai yake,michoro ya mchanga wanaweza kua samaki pia,ila ile ya kwenye miamba ndio sijui nani hua anachora
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…