Nataka wekeza huko je ni mtaji kiasi gani?? Ila nataka nitumie njia za kisayansi na sio makisio ya kichawi
Nimependa neno kupasuka....maneno yetu watoto wa mjiniUchawi ni imani tu ya kijinga ila hauna impact yoyote kwenye kufanikiwa katika uchimbaji wa dhahabu.
Usije kichwakichwa utapasuka. Unataka kuwekeza kwenye level gani ya uchimbaji?
Kwenye level ya kumiliki mgodi yaan toka eneo mpaka wafanyakaziUchawi ni imani tu ya kijinga ila hauna impact yoyote kwenye kufanikiwa katika uchimbaji wa dhahabu.
Usije kichwakichwa utapasuka. Unataka kuwekeza kwenye level gani ya uchimbaji?
Siyo rahisi kama unavodhani kijana kabla ya kuanza kuzalisha unao msuli wa kurun gharama za chakula na vifaa million kuiisha ndan ya masaa matano ni jambo la kauwaida sana kama kweli unataka kuwekeza huko jipe muda na uende maeneo matatu kujifunza nenda kahama,geita na chunya take time to learn otherwise you will perishKwenye level ya kumiliki mgodi yaan toka eneo mpaka wafanyakazi
Nipe ABC mkuu kuliko kunikatisha tamaa mpunga ninao wa kutosha ninachozungumzia hapa teknolojia kulipa wafanyakazi kwangu sio shidaSiyo rahisi kama unavodhani kijana kabla ya kuanza kuzalisha unao msuli wa kurun gharama za chakula na vifaa million kuiisha ndan ya masaa matano ni jambo la kauwaida sana kama kweli unataka kuwekeza huko jipe muda na uende maeneo matatu kujifunza nenda kahama,geita na chunya take time to learn otherwise you will perish
Hiyo ppm ni nn mkuuNakupata sana yani swala kuwekeza wataalamu mtu yupo bora kuwekeza waganga.
Acha nitunze maeneo yangu ambayo PPm bado inanipa matumaini mpaka nikamilishe vibari.
Unapo fanya vipimo kujua kiwango cha madini ndani ya udongo au mawe ambayo yamesagwaHio
Hiyo ppm ni nn mkuu
Uchimbaji wa dhahabu una tofautiana kulingana maeneo kwa mfano gharama za kuchimba chunya ni tofauti na kahama kitu ambacho naweza kukushauli ni kuwa nenda field ukajionee na ujifunze, kuwa na hela siyo tatizo sisi baada ya kufanya uchimbaji bila technology tulipata hela ya kutosha tukaamua kutumia geologist ili tuwe na uhakika na tunachofanya ajabu hapo ndo tukafirisika kabsa so take time and make risk calculation before investing your moneyNipe ABC mkuu kuliko kunikatisha tamaa mpunga ninao wa kutosha ninachozungumzia hapa teknolojia kulipa wafanyakazi kwangu sio shida