Maajabu ya biashara ya uchimbaji wa madini ya dhahabu

Mi nitakuja kurudi kwenye dhahabu lakin siyo kuchimba nitanunua hiyo dhahabu then nitaenda bank badala ya kifungua money account mi nitafungua gold account hapo nahakikisha naweka hata kilo mbili tukutane baada ya ten years
Kwa bei ya leo, kilo 2 za dhahabu ni karibu shilingi milioni 500 pesa ya Tanganyika
 
UKO SAHIHI SANA NDG!!!! MIE 2020 NILIKWENDA KUJARIBU KUCHIMBA UKO KATORO , LWAMGASSA, TEMBO, MHOLOLO, MATEBA NA VIJIJI VINGI TU UKO KATORO. NILIKAA KWA MUDA WA MWAKA, LAKINI KAMA ULIVYOKWISHA ELEZEA MAUZA UZA NA CHANGAMOTO ZA HAPA NA PALE, ILIBIDI KUUZA GARI KULIPA MADENI NA KUPATA NAULI YA KURUDI DAR KUJIPANGA UPYA !!!!!!! ILA SIYO MCHEZO!!!! HIZO PICHA UMENIKUMBUSHA MBALI SANA .Please note miaka hiyo one gramm ilikuwa 70 mpaka 90 elfu kama sikosei, ila sasa gram moja ni 100usd. = 260K
 
asante kwa ushauri wako mzuri umenipa mwanga
 
kwann uliacha
 
Nipo MUSASA hapa sehemu moja panaitwa LUSUNGWA,KWA BIBI NA ZIZINI
DAAAH LILIKUWA LIMENITOKA HILI CHIMBO HA HA HA 11 safi sana. nakumbuka hilo chombo zaidi zaidi ni kuuza mchanga wa dhahabu, ma lorry kama yote. sasa wakati harakati zinaendelea hapo MSASA, Mara chimbo la MLOLO mbele kidogo tu na MSASA ULU
 
Reactions: apk
Nipo MUSASA hapa sehemu moja panaitwa LUSUNGWA,KWA BIBI NA ZIZINI
DAAAH LILIKUWA LIMENITOKA HILI CHIMBO HA HA HA 11 safi sana. nakumbuka hilo chombo zaidi zaidi ni kuuza mchanga wa dhahabu, ma lorry kama yote. sasa wakati harakati zinaendelea hapo MSASA, Mara chimbo la MLOLO mbele kidogo tu na MSASA ULU
 
Hivi kwanini imani za kishirikina kwenye uchimbaji madini na uvuvi ziko juu sana? Maeneo hayo?,halikadhalika uzinzi,ulevi,ugomvi,wizi na kila aina ya uovu vinashamiri sana maeneo hayo,why, twambie mkuu.
 
Mwakitoryo ulikuwa namba ngapi nimechimba sana namba 2 na namba 3 baadae nikaondoka zangu ila nasikia siku hizi wachina wametapakaa vibaya mno. Dutwa na Nyarugusu nilikaa ila sikuwahi kuzidisha wiki kwenye hayo machimbo.
Hapo mwakitoryo kuanzia mama ntikie, boda boda wamiliki wa Bar, wachimbaji hadi ma boss wote ni wachawi
 
Hiyo ya kukopeshwa pesa bila kuandikishana wala shahidi yeyote kwa mara ya kwanza nilisikiaga chimbo moja huko Mpepo.
Mkopeshaji anakuwa na uhakika kwamba utapata hela tu na huwezi kukimbia maana unakuwa umezoea mazingira ya utafutaji machimboni kuliko uraiani.
 
We kama una amini ndege unayopanda ilejengwa kwa uchawi mbona ujafika ULAYA
Ichawi ni sayansi ambayo haijathibitishwa, haipo kwenye makaratasi


Ndege inatumia principle zilizo thibitishwa kama vile benouli principle , newtons law of motion n.k


Mganga anapoangalia uelekeo wa mkanda wa dhahsbu kwa kutumia sample ya jiwe la duarani anatumia principle nyingi ikiwemo law of probability na inaleta majibu zaidi ya gold detector watu wanachimba na wanapata kwa kipimo cha elfi tatu tu


Vijana wa mjini mjifunze udadisi msiwe na mindset isiyotoka nje ya box


Huu ni mfano wa gold detector ya kienyeji

Nipo gamboshi mkuu napata shule ya uchawi wenye tija, ninachokiandika ni kutoka field sio story za kusadikika
 
Mpumbavu wewe
 
Sayansi ijawai kuwa uchawi. Ndio maana mganga wa kienyeji ajawai kuunda ndege mchana
 
Sana mkuu 💯
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…