Maajabu ya chadema

Maajabu ya chadema

VPN USED2020OCTOBER28

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2011
Posts
1,505
Reaction score
674
haya ndiyo maajabu ya chadema:-
(1) wabunge wa chadema mwaka 2010 baada ya kushinda ubunge kwenye majimbo yao ya ubunge mfano john mnyika, joseph mbilinyi, freeman mbowe, godbless lema, zitto kabwe, hyness kiwia n.k waliapishwa na spika wa bunge ambaye ni wa chama kimoja na mh. Rais dr.jakaya mrisho kikwete ambaye ni rais wa jamhuri ya muungano wa tanzania.
(2) hao hao walioapisha na mh. Rais walimtangaza kuktomtambua na rais alipokuwa analizindua bunge wabunge wa chadema waliondoka bungeni kwa hoja ya kuwa hawamtambui kabisa;-
swali:- kama walitangaza kutomtambua ni kwanini walikubali kuapishwa na rais ambaye hawamtambui???
(3)walipokuwa wanadai katiba mpya hao hao (wabunge wa chadema) walienda ikulu kwa madai ya kutafuta muafaka wa katiba mpya!!
Swali:- kama walitangaza kutomtambua rais, ni kwanini walienda ikulu??
Swali la mwisho:-
· ni lini viongozi wa chadema walitangaza kumtambua rais??
· au zilikuwa porojo za kuwapumbaza watanzania???


Nb: Utanzania wetu ni muungano wetu!!!
 
Back
Top Bottom