Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Cristiano Ronaldo amekuwa mchezaji wa kwanza wa kiume katika historia kufunga magoli 900 kwenye mechi rasmi. Amefikia rekodi hii ya kihistoria katika mechi ya UEFA Nations League kati ya Ureno na Croatia iliyochezwa Lisbon Alhamisi hii.
Soma Pia: Lionel Messi aipiku rekodi ya Ronaldo kwa kufunga magoli mengi Ulaya