Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Wewe ulifaa kuwa waziri wa viwanda awamu ya tanoPele ana magoli 1200+
Huyu ndo mwamba, appearance chache magoli mengi.Huyo Bican alifungaje magoli namna hiyo?
Ila kamzidi mechi karibu 200. Unahisi Messi akiziba Hilo gap la mechi 200 atakua na goli ngapi?Huyo ndio the goal machine
Team midget watabisha
Hatari huyu jamaa, kautendea haki mpira.View attachment 3088235
Cristiano Ronaldo amekuwa mchezaji wa kwanza wa kiume katika historia kufunga magoli 900 kwenye mechi rasmi. Amefikia rekodi hii ya kihistoria katika mechi ya UEFA Nations League kati ya Ureno na Croatia iliyochezwa Lisbon Alhamisi hii.
Soma Pia: Lionel Messi aipiku rekodi ya Ronaldo kwa kufunga magoli mengi Ulaya
Hii ndio 5 Bora ya wachezaji wenye Mabao Mengi zaidi katika Historia ya Soka
Non official gamesPele ana magoli 1200+