Ricky Blair
JF-Expert Member
- Mar 13, 2023
- 463
- 1,009
Ni umaskini wa Uganda na Centra African Republic kwani kuna ushawishi mkubwa unafanywa kwa kutumia Petrol Dollar, fedha ya mafuta kutoka Uarabuni basi hata Tanzania siku moja yaweza kujikuta huko.Nachojiuliza ni kwanini Uganda, Mozambique na Gabon zipo kw hii organization ya Waislamu wakati idadi yao ya waislam ni chini ya asilimia 20% na Central African republic pia observer ila pop yao chini ya 20% kama Urusi.
View attachment 2959658
Uarabuni ni chini ya asilimia 20% ya Waislam na kuna nchi kibao maskini za kiislam. Sio zote Saudi au UAE. Pili, dhumuni la kujiunga kw taasisi ni maana yake km TZ kuwa kw jamii ya kiswahili au common wealth coz izo lugha zipo TZ, ila tukienda kujiunga Francophone au Lusophone c mtaona upuuziNafikiri ni maamuzi yao tu kama waliamua waingie kwakuwa hakuna watakachopungukiwa zaidi watanufaika wao si unajua Arabuni kuna mpunga wa maana?