Magari ya Biashara
Senior Member
- Sep 16, 2019
- 183
- 578
Habari
Kiukweli nipo kweny mshangao kubwa na siamini hiki ninachokiona na sielewi nini kimetokea.
Leo alfajiri majira ya saa 11 na nusu nimeamka vzuri tu na kwenda msikitini kuswali. Na kumbukumbu zangu zipo vzur kuwa mlango wa chumba changu nimeufunga na kama kawaida funguo huwa naweka kwenye kifuko kadogo cha suruali
hiyo huwa ndio kawaida yangu.. kwakuwa ni fungu moja tu na haina holder so inakaa vzuri tu
Baada ya safari ya kama dakika 5 mpaka 7 nikawa nimeshafika msikitini na kufanya ibada zangu na kuondoka kuanza kurejea ghetto..
mimi naishi maeneo ya ubungo riverside kama kuna anaye ujua ni ule msikiti wa pale ubungo darajani upo barabarani kabisa.
sasa maeneo ya ubungo tunayajua pembeni mwa barabara kuna vimeza kibao vya wafanya biashara wadogo wadogo... okay tuendelee..
baada ya kumaliza ibada zangu naanza kurejea home.. kiukweli mawazo ni mengi kichwan kama mnavyojua hali si hali... mtu unawaza utaianza vp siku na kusolve majukum yaliyo mbele yako na yanayokutegemea..
ghafla nipo njian naji search kwenye kamfuko kangu... funguo yangu siioni.. kumbuka kwa mazoea niliyonayo siku zote huwa naweka funguo kwenye kale kafuko kadogo cha suruali..
Naanza kujitafakari sasa jamani mbona funguo nimeibeba na mlango nilifunga... hizo ndo kumbukumbu zangu zinavyoniambia..
ma matusi ya kimoyomoyo nilitukana kusema za ukweli... hahahaha.. yaan maisha yanipe streess na bado nianze kupewa stress na kafunguo.. aisee nilighadhabika sanaa...
maswali kichwani je mlango nilifunga ndio.... na funguo nilibeba...
je funguo imeanguka muld ndanj msikitini au njiani tu nimeitupa bila kujua...
nikaanza kurudi msikitini kwenda kuangalia labda funguo umeanguka e eneo nilipokuwa naswalia....aiseee sikuukuta...
nawaza tena au nilikuwa nimeushika mkononi nikautupa bila ya kujua??
majibu sipati... ila solution pekee ikabaki labda niangaze angaze njia nzima labda nimeutupa.. maana stress hizi...
"unaweza ukawa umeshika tiketi ya mwendo kasi na noti ya 5,000 baada y kushuka kwenye mwendokasi ukatupa ile noti kwenye dust bin na kubaki na tiketi.. yameshanikuta hay"
daaahh safari ikaanza ya kuangaza njiani barabara nzima huku na kule najipa moyo labda nimeuangusha... ila suluhisho lililopo kichwan ni kwenda kuvunja kitasa na kuweka kingine.. maana naamini kabisa mlango nilifunga na funguo nikabeba..
sasa bhna wakati naangaza angaza pembezoni mwa barabara.. kama nilivyowaambia barabara ya ubungo darajani (kijazi interchange) kuna meza kibao za wafanyabiashara ambazo asbh huwa ni tupu hazina kitu...
katika kuangaza angaza nakutan na funguo kwenye moja ya meza hizo
nikaishangaa ila nikaibeba na kiukweli inafanana na funguo yangu.. ila cha kushangaza hii ila hivyo viholder na vyuma vyuma vingne... lakini yangu haina chochot.. ni funguo tu tupu... nikaibeba tu huku naendelea kuangaza angaza..
hapo nishakata tamaa... maana eneo pekee ambalo lilikuwa tumain langu ni msikitini napo sikukuta kitu..
nipo njian natafakari kwann nipate funguo inayofanana na yangu na wakati huu huu nimepoteza ufunguo wangu...
nikasema acha niende nao huu huu nijaribu ukikataa basi nitavunja kitasa..
ila najishangaa nimapata amani ghafla wakati hata sina uhakika kama huu funguo utafungua au laa
Basi bhna ijapokuwa njiani naendelea kuangaza angaza labda naweza kuona funguo yangu... mwisho wa siku nikafika hadi mlangoni kwangu..
Kosa nililofanya na ambalo linanipa mawazo mpaka sasa ni kuwa nilipofika mlangoni sikujaribu kufungua mlango wangu moja kwa moja ili kujiridhisha kama nilifunga au laa
mie moja kwa moja nikachomeka huu ufunguo niliouokota kwenye kitasa..
siamini macho yangu MLANGO ULIFUNGUKAA.. nilishangaa sanaa na kuduwaa mle ndani nikiwa pale mlangoni siamini kama nipo ndani kwangu.
Sasa maajabu mengine nikasema nijaribu kufunga mlango kwa funguo hii hii.. cha kushangaza haifungi... yaan tunajua funguo kama inafunga husa ina rotate na kufika mwisho...ila hii inaishia nusa.. na mlango hauji lock
hicho kicho kilock kiko nusu mlango haufungi ka funguo...
Mawazo kibao... funguo ya kuokota imeweza kufungua mlango ambalo niliuhisi kabisa umefungua kwa ile rotation ya funguo ila funguo hii hii haiwezi kufunga..
sasa ndani kwangu ile funguo yangu siioni... kwa maana haipo
maswali ni jee mlango siku funga?... na kama sikufunga funguo iko wap...
Haya swali jingine ni maajabu ya huu funguo.. ambao nimeukuta tu njiani tena wakati wa kurudi baada ya kuhisi nimepoteza funguo..
jamani hata sielewi kilichotokea.. ninachoshukuru tu nipo ndani kwangu... suala la kitasa sio issue sanaa kuliko ningekuwa sina jinsi ya kuingia
huu ufunguo unanipa mawazo.. na jee niendelee kuwa nao au niurudishe pale kwenye ile meza nilipouchukua... maana napakumbuka..