Kuna siku mimi na jamaa yangu tulienda duka moja kununua funguo
Yalikuwepo ya aina nyingi
Kuna makufuri moja hivi kubwakubwa la pembe nne nlilipenda japo n kubwa haswa!
Nkaomb kulitazama ...nkalipenda
Nkaomba lingine tena
Wakanipa
Nikajaribu kufungua kwa funguo ya kufuri lingine ikafungua
Nkajisemea moyoni
Kumbe hili n kubwa jingaa