Maajabu ya Grisi (grease) (Hidden World)


Nguruwe bila shaka


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa mkuu,si ni lazima hiyo sehem wachawi wawe wametembelea?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna idadi kubwa sana ya wachawi katika jamii zetu sema kwa sababu si mambo yanayowekwa hadharani basi ni vigumu mno kujua takwimu zinasemaje
Ila unaweza shangaa sana kama utapata namna yakumjua mchawi ukajichanganya katika halaiki unaweza hata ukajiona hauko salama kabisaaa
 
Duuh!!

Mkuu nikiwa nipo kwenye maombi salama sana,sidhani kama wanaweza kukanyaga hao wapuuzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo nguruwe maana hatulagi korodani la nguruwe tu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…