ward41
JF-Expert Member
- Apr 3, 2022
- 749
- 2,533
Huwezi kuamini, hivyo visilaha vimefanya kazi ya ajabu sana kulichakaza jeshi la pili Kwa ubora ulimwenguni ( Russian Army).
Vimeundwa Kwa gharama ndogo sana ila Kwa tech ya juu sana. Wote tulishuhudia ule msafara wa km 65 Kiev mwezi pili na tatu ukiyeyushwa kama theruji. Adui akabili mbinu baada ya kuona hali SI hali.
Ile mbinu yake mpya dawa yake ni Kadude kangine kanaitwa High Mobility Artillery Rocket System (HIMARS). Hako Kadude kanamtoa jasho tena.