[emoji2]View attachment 2309930View attachment 2309931View attachment 2309932
Huwezi kuamini, hivyo visilaha vimefanya kazi ya ajabu sana kulichakaza jeshi la pili Kwa ubora ulimwenguni ( Russian Army). Vimeundwa Kwa gharama ndogo sana ila Kwa tech ya juu sana. Wote tulishuhudia ule msafara wa km 65 Kiev mwezi pili na tatu ukiyeyushwa kama theruji. Adui akabili mbinu baada ya kuona hali SI hali. Ile mbinu yake mpya dawa yake ni Kadude kangine kanaitwa High Mobility Artillery Rocket System (HIMARS) . Hako Kadude kanamtoa jasho tena.
Bila ya vita UKRAINE wasingeelewa somoKweli Russia alikosa akili za kutatua mgogoro bila vita? Putin shetani mkubwa
RUSSIA TAIFA TEULERussia is a pale shadow of the defunct USSR and the main thing that the despotic states share in common is only the political propaganda, a non lethal weapon that the Russian regime uses to brainwash its disenchanted people.
punguza mahaba mzee kipigo cha himars kime wafanya jamaa warud mezan kremlin kujadiliana wanafanyaje maana wana puputishwa kama upupu 50 amunition depot za russia ndani ya muda mfupi zime geuzwa majivu na hapo bado hazijaja himars zenye masafa marefu mpaka uko kremlin patakua hapakaliki sasaZimeleta faida gani huko Kiev urusi ilijiondoa Hapa tukubali tu silaha za western ni dhaifu tu hazina faida