Maajabu ya Joto City!

Hahahaaaaaa wanawake kwa waschana wanavaa dera kama vazi la shughuli na linavaliwa kama sare pia wamama hawajifungi khanga na vitenge tena.


Na madera yenyewe madada na wamama wanayachomeka kwenye pichu! kiunoni! ili wakitembea wawe wanatentementa! kuwakolezea utamu wakware wenye ugwadu!
 
Maisha huku dar ni mbinde! Yafaa utumie akili ya kuzaliwa ndo ushibe! Na wengine wanashi ka peponi! bora kuwaibia wajinga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…