Duuu.. iyo nomaa!! af avater yako umeitunza mkuu!!Lile jeba zima bila aibu eti "fulisoma wrote".... Kwahiyo na sisi tukienda dukani kwake tusilipe hela.....
Ahaaa! ofcoz ad mm naipenda!Nimewahi kuibadilisha mara 2...lakini makapuku wakalalamika kwamba avatar wanaipenda na washaikariri km utambulisho wangu nikairudisha fasta
Karibu sana mkuuDah kwel dar sio mchezo kuna totozi za hatari pande za posta aiseee nitafika mwezi 7
Kaaazi kweli kweli
Hata hawa pia ni panya sema haijathibitishwa
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Ni kweli unaulizia sendo au maji ya betri?
Vyote avipate wifiNi kweli unaulizia sendo au maji ya betri?