asante kushukuruUmetisha
Ahsante kwa picha
😡😡😡😡😡😡😡😡😡Halafu legelege wapo Mto Msimbazi wanafanya uvuvi wa vyura
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji2]
Ukapuku upo kule Makapuku Forum sio huku
Nenda kasalimie huko
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Chipsi mayai,soda na Maji baridi na ugali nkWafugaji wapo dar,hadi kariakoo watu wanafuga mbuzi kibao utazani Ranchi,maeneo ya mchikichini,sa sijui wale mbuzi wanakula nini
Hahaha mbuzi wanaishi kariakoo apo washatwanga vyombo wapo hoi!Mbuzi wa dar hawawezi kuishi mkoani.
Hapo ni bar......Mbuzi wa Joto City noma