Maajabu ya Kachero Mbobezi - Bernard Kamilius Membe

Maajabu ya Kachero Mbobezi - Bernard Kamilius Membe

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni:



Huyu ndiye Bernard Kamilius Membe mgombea urais kwa tiketi ya ACT wazalendo akiwa mwana CCM.

Hili bila shaka ndiyo lile bao almaarufu la dak ya 90.

Kazi kweli kweli.
 
Komredi BCM yuko sahihi kabisa.

SIASA ni ushawishi.

SIASA ni watu.

Alifukuzwa CCM kwa "kutokukubalika" na WENYE NGUVU....haitofautiani na ZITTO KABWE alipofukuzwa CHADEMA kutokana na "kutokukubalika" na mh.MBOWE......ni sawa na WILLIAM RUTTO kutengwa na JUBILEE.

Huko nyuma ilishawahi kutokea hayo, tumesoma kuwa Hayati James Mapalala mwanzilishi wa CUF alitengwa na Prof. Lipumba.

Mzee Augustine Lyatonga Mrema alitofautiana na akina MABERE NYAUCHO MARANDO....alitofautiana na akina MASUMBUKO LAMWAI....alitofautiana na akina James Mbatia, kilichotokea kinajulikana wazi tu.....wazi tu.

Chadema wasijifanye ni "malaika".....hivi karibuni tu wamewafukuza WANACHAMA WAO 19 MAARUFU wakiongozwa na mh.Hallima Mdee.

My take: Dr.Slaa aligombea ubunge na mwishowe URAIS kwa tiketi ya CHADEMA na mkampitisha huko CHADEMA......wako BAADHI YA WATU wanaosema kuwa Dr.Slaa hakuirudisha KADI YA CCM....kwa kweli hapa "sijaujua ukweli uko wapi"

#SiempreCCM
#NchiKwanza
 
Hiyo ndio sababu wenye Akili tunaidai KATIBA mpya na CCM wakisikia tuu neno KATIBA mpya kitu kinagonga ktk chup zao.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Hata katiba iwe vipi, wanasiasa wenye nguvu hawashindwi KUITEKA "acha pang'ang'a" mkuu 🤣🤣

Tumeviona baadhi ya vipengele vya katiba za baadhi ya nchi vikibadilishwa na WALIO MAMLAKANI ili tu WAENDELEE KUGOMBEA MIHULA MINGINE ama wavivuke vipengele vya UMRI.

CHADEMA mnapoyataka madaraka ya nchi msitulaghai wenye "kufikiri"🤣🤣

#SiempreJMT
#NchiKwanza
 
watu kama hawa ni wa kuhamziwa tu na watu wasiojulikana.ili liwe funzo kwa wengine warudishwe nyumbani Jehannamu.
 
Hata katiba iwe vipi....wanasiasa wenye nguvu hawashindwi KUITEKA...."acha pang'ang'a" mkuu 🤣🤣

Tumeviona baadhi ya vipengele vya katiba za baadhi ya nchi vikibadilishwa na WALIO MAMLAKANI ili tu WAENDELEE KUGOMBEA MIHULA MINGINE ama wavivuke vipengele vya UMRI....

CHADEMA mnapoyataka madaraka ya nchi msitulaghai wenye "kufikiri"🤣🤣

#SiempreJMT
#NchiKwanza
KATIBA MOYA NIMFUMO SAHIHI WA SISI AKINA KABWELA KUTODANGANYIKA NA WANASIASA. MAANA TUTAWAJIBISHA KWA MUJIBU WA KATIBA.
 
Mimi ninachofurahia ni jinsi wapinzani wanavyogeuzwaga mandondocha
 
Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni:

View attachment 1964754

Huyu ndiye Bernard Kamilius Membe mgombea urais kwa tiketi ya ACT wazalendo akiwa mwana CCM.

Hili bila shaka ndiyo lile bao almaarufu la dak ya 90.

Kazi kweli kweli.
Hana kosa, kosa ni akili mbovu za waliomkaribisha kugombea wakijua nini kiliwakuta CDM 2015
 
Hiyo ndio sababu wenye Akili tunaidai KATIBA mpya na CCM wakisikia tuu neno KATIBA mpya kitu kinagonga ktk chup zao.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
Tunakumbushana tu sisiem ndio watakaohodhi mradi mzima wa utekelezaj ktk uandish wa katiba mpya na sidhan km kutakua na maajab yoyote na ndio maana wanatupotezea wanaona km tutawapotezea muda tu
 
wazee kama hawa ndiyo wanaharibu tasnia ya Siasa, sasa kijana anayeandika thesis yake ya siasa za Tanzania na hatma yake ili kumalizia Masters yake ya Political Science ataandika nini hapa.
 
naipenda sana ile kauli mbiu yake enzi za mjomba yuko madarakani.
 
Back
Top Bottom