Smart boy Shewedy
JF-Expert Member
- Jan 17, 2017
- 3,718
- 3,488
Wacha nikimbie kabisaMziziMkavu njoo utoe tiba huku, Kijana mashine ipo legelege
Hahahaa nkajua na wewe machine ni legelege Mkuu, vijana Under 30 hawana nguvu, sasa wakifikia 55 hali sijui itakuajeWacha nikimbie kabisa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kuuliza isiwe nami nina matatizo, wengine tunahitaji Elimu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaa nkajua na wewe machine ni legelege Mkuu, vijana Under 30 hawana nguvu, sasa wakifikia 55 hali sijui itakuaje
Swadakta MkuuUimara wa misuli ni aina flani ya mazoezi ambayo sio busara kuyataja hapa..
Pia kwa ubongo ni 1.kuchange life style ili uwe busy,
2.kuacha kukaa peke ako muda mrefu... Hasa kwa kujificha/ kujifungia
3. Kuacha kuangalia x videos
4. Tumia kalenda kucircle siku ambazo utakuwa hupigi pull..hii itasaidia kukupa motisha nzuri sana
5. Tafuta mpenzi..
NB.. Tambua pull ni matokeo ya life style, na matibabu yake kwa kiac kikubwa hutegemea jinc utakavyoji condition
Watafute wanawake tu, nyeto ni janga sugu la wazawa!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ni baadhi ya vijana tuu mkuu, ila sio wote japo Punyeto ndio janga la Taifa....
Wanawake wa siku hizi nao majanga vilevile mkuu, maana pesa ndio kipaumbile chaoWatafute wanawake tu, nyeto ni janga sugu la wazawa!!!
Akiwa anakojoa afanye mazoezi ya kukojoa na kubana mkojo kwa mda. Hili litamsaidia kuimarisha misuli.Habari wadau naomba kuuliza karanga mbichi zinaweza kuwa msaada kwa mtu aliyepungukiwa nguvu za kiume kutokana na punyeto ya muda mrefu endapo atatumia kila siku kwa muda miezi kadhaa.Asante
Mkuu Kitu kimenywea muda huu nini?.. Wanaume wa Dar OyeeeHabari wadau naomba kuuliza karanga mbichi zinaweza kuwa msaada kwa mtu aliyepungukiwa nguvu za kiume kutokana na punyeto ya muda mrefu endapo atatumia kila siku kwa muda miezi kadhaa.Asante
Ubarikiwe nashukuru kwa ushauri mzuriMim naomba nitoe Ushuhuda kidogo nilikuwa na hili tatizo kiukwel nilifikia level mbaya mi nilipiga sana nyeto nazan nilipitiliza had kwa siku nilifanya 3 au 4 had nipo chuo kikuu but nilianza kupata serious problems hasa maumivu ya mgongo, kichwa kupoteza kumbukumbu, mwili kukosa nguvu, umee kusinyaa na Kali kupita zote ni kukosa kabisa nguvu za kiume yaan hata ile kudinda tu ilikuwa ni ishu yaan umee kaz yake ilibaki kukojoa tu .baada ya kwenda hospital niliambiwa Nina tatizo la low sperm count Dr alinipa ushaur nitulie na nisifanye MAPENZ kwa zaid ya miez 6 ili nipate kukusanya mnegu ni kipind kirefu hiki nikasema saaa ,muunganiko wa hayo matukio yaliniumiza sana na kunifanya nikose sana raha , baada ya kuumia kwa muda niliamua kubadilisha mawazo na kuwa na hali ya kujiamin na kusema hili ni tatizo dogo sana kwangu . nikaamua kuingia kutafuta tiba asili (japo walikula pesa zangu na sikufanikiwa kitu chochote kile ) nilianza kutumia vyakula vya tiba asili kama nilivyo elezea kwa ufupi Sana hapo chini. Kwa sasa mi nimepona na ninapiga mechi vizuri sana had wife huwa anashangaa nguvu hiz napata wap mwanzon alizana nameza Viagra ila baada ya kumpatia Maelezo kwa kina alinielewa. Mim nimepona kwa tiba aina nne tu . kwanza ni psychological awareness, pili vyakula vya asili, tatu ni mazoez ya kegeli na nne ni mazoez ya pumzi na hasa kukimbia kuna sadia sana speed za sperm ,tatu
Kwa wenye matatizo ya misuli kulegea na wenye tatizo la kuwahi kukojoa ni vyema wafanye mazoez ya kegel (Google mazoez ya kegel kwa wanaume ukifanya haya utaimarisha umee wako)
Kunywa sana tangawizi ya moto ikiwa Kali vile vile husadia kutibu
Fanya mazoez hasa kupiga squat na push up kwa sana bila kusahau zoez la kukimbia
Kuna ile juisi unanitengeneza kwa kuweka tende( toa zile mbegu zake), unga wa karanga mbichi(weka vijiko 3),unga wa habat soda(weka vijiko 3),unga wa uwatu(vijiko 3) ,ndizi za kuiva( weka ndiz moja ile kubwa au ndizi 3 kwa zile ndogo ) weka maziwa fresh kikombe kimoja cha yaan kipimo cha maziwa tanga fresh ile ndogo , ongezea punje 5 za kitunguu saumu uwe umemenya . baada ya hapo saga kwenye blenda vizur . kisha unaweza kunywa hiyo juisi yote kwa maana huwa ni kikombe kimoja cha chai ( hakikisha juisi inakuwa ni nzito KWA kuweka vioungo vyote sawa) usipoweza basi kunywa juisi hiyo vijiko 3 asubuhi ,mchana na JION na kama upo kazin tu unaweza kunywa asubuhi au unawexa kutumia JION hiyo juisi ya tende.
Tafuta asali mbichi ile halisi sio za kuchakachua uwe kabla ya kulala unachua kimtindo umee wako kwa asali mbichi na lala nayo hivyo hivyo husadia kuipa mishipa nguvu na afya tele na n vyyema ukilamba asal kijiko kimoja kabla ya kulala ni nzuri pia kwa nguvu na ubora wa mbegu pia ponda ponda vitunguu saumu na uwe unachua chua umee wako( hakikisha hupiga punyeto ) hiz zote ni KUTIBU tatizo la UMEE kusinyaa
Kunywa maji mengi
Na kutunza ubora na wingi wa mbegu zako ni vyema kufanya ngono kwa mpangilio maalum ili uweze kuzipa nafasi mbegu zikomae na kuongeza
Ila kula sana mbegu za maboga ( hiz usikalange cha kufanya andaa kwa kuweka kwenye maji kias kidogo tu kama nusu kilo za mbegu hizo then changanya ma chumvi kias ili upate radha then anika zikauke afu kula punje za mbegu hizo kwa wastan mbegu 100 asubuhi ,mchana jion )
Kula sana mboga za majani kwa wingi husadia kuongeza msukumo wa damu ambao ndiyo kiini cha kusadia mashine kusimama.
Dah yapo mambo mengi sana aiseee nimefanya na Nina Fanya kuna ma juisi mengi ya kutumia na vyakula kibao ambavyo mi Nimetumia na vinanipa matokeo bora kabisa . nimechoka kutype next time ntakuja kuelezea kwa undan baadhi ya vitu vya kufanya hasa ukiwa na mkeo /mpenz wako ukiwa naye achana na mawazo ya kuwaza utawahi kukojoa , au simu umee kulala ww mwandae vizur mke wako hata saa zima na kwa ufundi hii itakusadia hali ya kujiamin na kukusadia kumfikisha mkeo mapema ambapo ukija kuingiza umee unakuwa unamaliza tu kaz . siri ya kutibu PUNYETO ni wewe kujiamin kwanza ondoa tabia ya wasi wasi
Jiepushee na madawa ya kijinga hujui ubora wake utajiumiza bure na kupoteza pesa zako kwa wahuni . siri zote ni vyakula asili tu
Ishu ya ubongo penda kucheza MICHEZO ya kutibu tatizo la kusahau let say mi nacheza sana Rubik's cube na puzzle words na zingine, juisi ya ubuyu , mboga za majani , kula sana mananasi n.k
Bila kusahau kumuomba sana mungu na kutubu zambi zote
Next time ntaendelea na somo kwa Leo inatosha
Mkuu akifuata Ushauri wako anapona mchana kweupe!!!Mim naomba nitoe Ushuhuda kidogo nilikuwa na hili tatizo kiukwel nilifikia level mbaya mi nilipiga sana nyeto nazan nilipitiliza had kwa siku nilifanya 3 au 4 had nipo chuo kikuu but nilianza kupata serious problems hasa maumivu ya mgongo, kichwa kupoteza kumbukumbu, mwili kukosa nguvu, umee kusinyaa na Kali kupita zote ni kukosa kabisa nguvu za kiume yaan hata ile kudinda tu ilikuwa ni ishu yaan umee kaz yake ilibaki kukojoa tu .baada ya kwenda hospital niliambiwa Nina tatizo la low sperm count Dr alinipa ushaur nitulie na nisifanye MAPENZ kwa zaid ya miez 6 ili nipate kukusanya mnegu ni kipind kirefu hiki nikasema saaa ,muunganiko wa hayo matukio yaliniumiza sana na kunifanya nikose sana raha , baada ya kuumia kwa muda niliamua kubadilisha mawazo na kuwa na hali ya kujiamin na kusema hili ni tatizo dogo sana kwangu . nikaamua kuingia kutafuta tiba asili (japo walikula pesa zangu na sikufanikiwa kitu chochote kile ) nilianza kutumia vyakula vya tiba asili kama nilivyo elezea kwa ufupi Sana hapo chini. Kwa sasa mi nimepona na ninapiga mechi vizuri sana had wife huwa anashangaa nguvu hiz napata wap mwanzon alizana nameza Viagra ila baada ya kumpatia Maelezo kwa kina alinielewa. Mim nimepona kwa tiba aina nne tu . kwanza ni psychological awareness, pili vyakula vya asili, tatu ni mazoez ya kegeli na nne ni mazoez ya pumzi na hasa kukimbia kuna sadia sana speed za sperm ,tatu
Kwa wenye matatizo ya misuli kulegea na wenye tatizo la kuwahi kukojoa ni vyema wafanye mazoez ya kegel (Google mazoez ya kegel kwa wanaume ukifanya haya utaimarisha umee wako)
Kunywa sana tangawizi ya moto ikiwa Kali vile vile husadia kutibu
Fanya mazoez hasa kupiga squat na push up kwa sana bila kusahau zoez la kukimbia
Kuna ile juisi unanitengeneza kwa kuweka tende( toa zile mbegu zake), unga wa karanga mbichi(weka vijiko 3),unga wa habat soda(weka vijiko 3),unga wa uwatu(vijiko 3) ,ndizi za kuiva( weka ndiz moja ile kubwa au ndizi 3 kwa zile ndogo ) weka maziwa fresh kikombe kimoja cha yaan kipimo cha maziwa tanga fresh ile ndogo , ongezea punje 5 za kitunguu saumu uwe umemenya . baada ya hapo saga kwenye blenda vizur . kisha unaweza kunywa hiyo juisi yote kwa maana huwa ni kikombe kimoja cha chai ( hakikisha juisi inakuwa ni nzito KWA kuweka vioungo vyote sawa) usipoweza basi kunywa juisi hiyo vijiko 3 asubuhi ,mchana na JION na kama upo kazin tu unaweza kunywa asubuhi au unawexa kutumia JION hiyo juisi ya tende.
Tafuta asali mbichi ile halisi sio za kuchakachua uwe kabla ya kulala unachua kimtindo umee wako kwa asali mbichi na lala nayo hivyo hivyo husadia kuipa mishipa nguvu na afya tele na n vyyema ukilamba asal kijiko kimoja kabla ya kulala ni nzuri pia kwa nguvu na ubora wa mbegu pia ponda ponda vitunguu saumu na uwe unachua chua umee wako( hakikisha hupiga punyeto ) hiz zote ni KUTIBU tatizo la UMEE kusinyaa
Kunywa maji mengi
Na kutunza ubora na wingi wa mbegu zako ni vyema kufanya ngono kwa mpangilio maalum ili uweze kuzipa nafasi mbegu zikomae na kuongeza
Ila kula sana mbegu za maboga ( hiz usikalange cha kufanya andaa kwa kuweka kwenye maji kias kidogo tu kama nusu kilo za mbegu hizo then changanya ma chumvi kias ili upate radha then anika zikauke afu kula punje za mbegu hizo kwa wastan mbegu 100 asubuhi ,mchana jion )
Kula sana mboga za majani kwa wingi husadia kuongeza msukumo wa damu ambao ndiyo kiini cha kusadia mashine kusimama.
Dah yapo mambo mengi sana aiseee nimefanya na Nina Fanya kuna ma juisi mengi ya kutumia na vyakula kibao ambavyo mi Nimetumia na vinanipa matokeo bora kabisa . nimechoka kutype next time ntakuja kuelezea kwa undan baadhi ya vitu vya kufanya hasa ukiwa na mkeo /mpenz wako ukiwa naye achana na mawazo ya kuwaza utawahi kukojoa , au simu umee kulala ww mwandae vizur mke wako hata saa zima na kwa ufundi hii itakusadia hali ya kujiamin na kukusadia kumfikisha mkeo mapema ambapo ukija kuingiza umee unakuwa unamaliza tu kaz . siri ya kutibu PUNYETO ni wewe kujiamin kwanza ondoa tabia ya wasi wasi
Jiepushee na madawa ya kijinga hujui ubora wake utajiumiza bure na kupoteza pesa zako kwa wahuni . siri zote ni vyakula asili tu
Ishu ya ubongo penda kucheza MICHEZO ya kutibu tatizo la kusahau let say mi nacheza sana Rubik's cube na puzzle words na zingine, juisi ya ubuyu , mboga za majani , kula sana mananasi n.k
Bila kusahau kumuomba sana mungu na kutubu zambi zote
Next time ntaendelea na somo kwa Leo inatosha
hata mimi ndivyo nijuavyo hivyo mkuu.Wakuu mbona nasikia karanga ni za kuongeza idadi ya shahawa (Sperms) tu na sio kuongeza nguvu za kiume ....Hii imekaaje?
mbona kwenye zoezi la uhakiki wa CHAPUTA sikukuona mkuu au ni hewa.?Mm ni mhanga wa puchu, nna mwaka wa 9 sasa
Hilo jaribio nilishafanya mkuu usiku nilitupia ya kutosha...hahahahhata mimi ndivyo nijuavyo hivyo mkuu.
karanga huongeza kiwango cha uzalishaji wa mbegu mwilini, hasa mbichi, fanya jaribio nawewe kula karanga mbichi mchana ukiweza tafuta ambazo azijakomaa, usiku lazima uote ndoto nyevu.
ila ni kwa mwanaume ambaye hatumiki sana.
matibabu yapi ya ubongo misuli tufafanuliePunyeto huathiri ubongo (Psychological disturbance) na pia hulegeza mishipa ya ile kitu
So ktk treatment jaribu matibabu ya aina hzo mbili......
Kwa maana ya kwamba karanga zitasaidia lakin uimara wa misuli na ubongo utahitaji matitabu zaidi
nimekuelewa vizuli sana asante kakaUimara wa misuli ni aina flani ya mazoezi ambayo sio busara kuyataja hapa..
Pia kwa ubongo ni 1.kuchange life style ili uwe busy,
2.kuacha kukaa peke ako muda mrefu... Hasa kwa kujificha/ kujifungia
3. Kuacha kuangalia x videos
4. Tumia kalenda kucircle siku ambazo utakuwa hupigi pull..hii itasaidia kukupa motisha nzuri sana
5. Tafuta mpenzi..
NB.. Tambua pull ni matokeo ya life style, na matibabu yake kwa kiac kikubwa hutegemea jinc utakavyoji condition
Anhaa lakini karanga zinasaidia kuongeza manii