Maajabu ya Karne. Kipapiro kinatoa mvuke na kuacha alama

Na kaukimwi kako hivyohivyo
 
Jaman Kuna watu waongo ,nahis wanatakiwa WAPEWE degree ya uongo
 
🤣
 
Kuna mmoja nilimgusa mkono wake kisha nikamuuliza mbona wa moto hivyo? Akanijibu unashangaa nini? Nikikupa kule hutafikisha dakika mbili goli unapiga haraka kule ndio kuna joto jingi
Hahaha!
 
picha ya huo mvuke wenye mashavu iko wapi?
 
kwa wanawake ni kitu cha kawaida. mbona mara nyingi tu utawakuta pia kavaa nguo nzuriii, ila katikati pale anapokalia pabichi, yaani akikaa kuna maji yanatoka nadhani kulowesha katikati na yeye hajui maskini. kumbe wakati mwingine ni wapo bleed, au maji tu ya utoko fulani au mgonjwa mafangasi au shahawa za morning glory, wachukulie tu kama walivyo. sasa mtu akikaa muda mrefu kwenye kiti si lazima kunakuwa na mkusanyiko wa mvuke au kajasho? au nini haulelewi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…