Kwa kweli ukumbusho mzuri sana napenda sana kuona demu ana khanga katika sehem stahikiImetulia
Ukumbusho muhimu
Hahahaaaa wewe mkuu dera acha kabisa linakosha moyo wangu siyo hadi nilimshawishi yule wangu wa moyo awe anavaa licha ya yeye kutopendelea hapo awali saivi anavaa. Mmmh hapo sasa ndo utajua raha ya kuwa na mwanamke mwenye shepu nzuri na pako poa halafu anajua kuliinua dera lake kwa mkono wa kushoto huku kapochi kake kakiitembelea mikono yake huku na kule kwa spidi ya kawaida kuacha ile ya magu au elimu yetu!Ni kweli mkuu
Mimi hata akinivalia dera nafurahia tu si unajua linarahisisha mambo
Wewe si bure utakuwa na hisia za mwendokasi!Mwanamke akivaa kanga ananivuruga kweli wallah..