Maajabu ya khanga!

Kuna dadamoja aliniomba nimnunulie kanga ilioandikwa mtabaki hoi kwake hamnitoi, sasa nikaenda dukani kitendo cha kuuliza tu wenye duka akaniuliza mwenye kanga hii anakaa mbali?nikamjibu kwa nn? jibu alilonipa wala sikupitia stendi niliona nachelewa
 
Mbona umenivunja mbavu.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…