Maajabu ya khanga!

Hahahahahaha! Kama ni ya Tanesco,anahitaji back-up generator kwakweli
Leo kwako, kesho kwa Jimena, keshokutwa kwa Chausiku zen kwa Asha kidomodomo....
Ni mwendo wa mgao
 
Leo kwako, kesho kwa Jimena, keshokutwa kwa Chausiku zen kwa Asha kidomodomo....
Ni mwendo wa mgao
Sidhani,hawa wa kuhangaika na mayai ya kware na supu ya pweza?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…