Maajabu ya khanga!

Atamnunulia ya kuwapiga kijembe kitaa kizima
*Hayawani hayakuhusu
*Nimempata kwa shida shikeni zenu adabu
*Yakwenu yamewashinda mmekalia fitina
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimempata kwa tabu shikeni zenu adabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…