Maajabu ya khanga!

Hakuna kipindi mwanamke anakuwa anatamanisha kuliko kipindi chochote kama muda anakuwa amevaa kanga moja tu huku huko ndani hajavaa chochote...aisee!
 
Kuna kanga moja niliwahi kuiona imeandikwa " mwandu mtamu jamani"
 
Khanga ni nzuri ndo maana nikikutana na demu huwa namuomba aniachie khanga ya ukumbusho na ninapenda kuweka juu ya tumbo ninapokuwa napumzika mida ya mchana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…