Maajabu ya Klabu ya Simba

Nimefurahi sana kufahamu kwamba Simba ilikua klabu ya kwanza kuanza kuvaa viatu.

Enzi hizo wanafanya hivyo Yanga walikua wanakipiga peku peku.

Duuh.
 
Historian inaonyesha wakati Yanga wanapambana kupigania Uhuru wa nchi hii Kuna kundi Lili meguka na kuungana na watawala ili kukwamisha( kudhoofisha) mapambano ya kudai Uhuru. Kundi

Hilo ndio lilianzisha timu iliyo itwa queen, Sunderland Kwasasa Simba. Moja ya vitu vilivyo tumika na watawala kuwa hadaa ili wameguke kutoka Yanga ni ivyo viatu na jezi. Ata hivyo swala la Vijana hao wazawa kuisaliti nchi yao bado alikua wakatisha tamaa Young Africans kupigania Uhuru wa Tanganyika.
 
Simba ndio timu ya kwanza Afrika Mashariki na Kati na Kusini na Kaskazini na Magharibi yote kumkimbia mtani wake wakati wa half time kuepuka kichapo kwenye ligi Kuu ya Nchi hapo mwaka 1992.
 
Kwahiyo Simba(Sunderland) ndio wasaliti walioshirikiana na waarabu na wazungu kutugawa.
 
Your browser is not able to display this video.
 
Je kote huko alikuwepo MO ? Maana kuna mamluki wanaamini mafanikio yote ya Simba yameletwa na MO !
 
Je kote huko alikuwepo MO ? Maana kuna mamluki wanaamini mafanikio yote ya Simba yameletwa na MO !
Simba ndio timu pekee hapa nchini iliyochukua makombe yote ya mashindano ya Ntani Jembe hadi pale Mtani mmoja alipo yakimbia mashindano hayo na kusababisha yasiendelee hadi hii leo.
 
I love you Simba... Lunyasi...wazee wa tiktak!!! Hakuna kama Simba Africa Mashariki
 
Simba ndo timu ya kwanza kwanza kuuza mchezaji kwa 1 Bi
 
Miaka kadhaa baadaye,Farouk Bulsara akajiita Freddie Mercury akaanzisha kundi la mziki na kuliita Queen akiwa huko huko kwa Beberu.
 
Simba ndio timu ya kwanza Afrika Mashariki na Kati na Kusini na Kaskazini na Magharibi yote kumkimbia mtani wake wakati wa half time kuepuka kichapo kwenye ligi Kuu ya Nchi hapo mwaka 1992.
Historia hii ilijirudia 8/3/2021 baada ya Simba timu kubwa Africa kumkimbia mumewe wakati walishashusha chandarua tayari,hata alipobeba furushi lake miezi kadhaa baadaye na kurudi kwa mumewe akatiwa kimoja cha nguruwe.Alijifungua wakati wa ngao ya jamii na mkunga alikuwa Fiston Mayele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…