Maajabu ya Klabu ya Simba

Nimefurahi sana kufahamu kwamba Simba ilikua klabu ya kwanza kuanza kuvaa viatu.

Enzi hizo wanafanya hivyo Yanga walikua wanakipiga peku peku.

Duuh.
Walikuwa kama bush stars
 
Ndio team ya kwanza kuanzisha tamasha la club utopolo wakaponda sana sasa hivi wanaita siku ya wananchi.
 
Pia Simba ndiyo klabu ya kwanza kuwa na CEO,kutoka Kusini mwa Afrika[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Mshana Jr naona unatafuta pa kujifarijia.
 
Yanga ndo timu ya kwanza Tanzania kujulikana saana inje ya Tanzania na kuwa na mvuto mwingi
 
[emoji94].... Djigui Diara aliondoka akiacha Simba ina point 24

Anarudi anakuta Simba ina point 25

Anajiuliza Ligi ilisimama au???!![emoji848][emoji848][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Namba 8 ni record ambayo itachukua muda mrefu kuivunja. Rais Kaunda alikuwa mgeni rasmi kwenye mchezo huo. Alikasirika, matokeo alivunja uongozi wa chama cha mpira Zambia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…