ERIC JOSEPH
JF-Expert Member
- Aug 10, 2011
- 567
- 55
Wadau nimejalibu kufuatilia na kufuatiliana masuala ya kufa na kuzaliwa
KUZALIWA
mana kwa takwimu mbalimbali inaonyesha watu wengi hujifungua hasa nyakati za usiku kuanzia mida ya kumi jioni na kuendelea mpaka saa nne asubuhi kwa mida ya mchana ni nadra sana
KUFA/KUKATA ROHO.KUAGA DUNIA
Watu walio wengi ambao husumbuliwa na maradhi mbalimbali nao huanza kufa kuanzia nyakati za jioni,usiku mpaka mida ya saa tano asubuh na kama itatokea kufa mchana ni wachache sana
Ivi hiyo mida inauhusiano gani na hayo matukio mawili mana watu hawazaliwi mchana na wala hawaagi dunia mida ya mchana?
Nb.hapo hatujazungumzia ajali
Yesu atakuwa alizaliwa usiku, maana walitafuta gesti walale lakini zikawa zimejaa, na kufufuka ni alfajiri kama sikoseiYesu alikufa saa 9 alasiri, sijui alizaliwa muda gani?
To die is to be absent from this body
that not true ukisema to be absent from this body means there is another body or something else apart frm this which is nat true
die means not working ever so what happen is all organs stop working and loss of all evidence of life after that no one knows what fallow as far as i know chemical change take place,i think you get my point M Mkwawa
die means to cease to live;undergo the complete and permanent cessation of all vital functions;become dead. Now what is this that "cease" to live and/or "become" dead?
Yesu atakuwa alizaliwa usiku, maana walitafuta gesti walale lakini zikawa zimejaa, na kufufuka ni alfajiri kama sikosei
.. and who are you? Body, Soul, Spirit, or non of that? Can you explain to me with empirical facts. .... When someone dies, what exactly is happening?
ni kwanini umtukane huyu jamaa namna hiyo kwani amekosea nini jamani?aliyosema ni kweli,,,,so offensiveHii ndo shida ya watu wanafikili kwa masabuli yaani ww hata babako nafikili humjui na hata mamako atakua hakujui na ww humjui maana huyo unaemwita mamako alikuiba na hata mamako alikuzaa kwa bahati mbaya ndo maana akakutupa chooni mwana izaya mkubwa weeee....