Maajabu ya kufa na kuzaliwa


hivi mods, BAN huwa inawahusu watu wanaomuzungumzia madudu ya "Jua Kali" tu?????
 
ni kwanini umtukane huyu jamaa namna hiyo kwani amekosea nini jamani?aliyosema ni kweli,,,,so offensive

Pengine biblia yake ipo kwenye mchakato wa kufanyiwa marekebisho..
 
Pengine biblia yake ipo kwenye mchakato wa kufanyiwa marekebisho..
wach a kuchezea vitabu vitakatifu bana wewe :focus::focus::focus::focus::focus::focus::focus::focus::focus::focus::focus::focus:
 
mods :ban::ban::ban::ban::ban::ban::ban::ban::ban::ban::ban::ban::ban::ban::ban::ban::ban::ban: au hastaili au ni kule siasa tu ndo mnatuban
 
Mala nyingi mimba zinatungwa usiku so miezi tisa ya mimba huanzia pale wanaposhiriki tendo la ndoa,ili iwe miezi tisa kamili tunaweza kuhesabu masaa tangu kutungwa mimba mpaka kuzaliwa.

Mkuu hapo kwenye red unaamanisha nini? Ila si kweli kuwa mara zote ni lazima mtoto azaliwe miezi 9 kamili kwa maana ya masaa. Kuna ushahidi wa kuongezeka siku au kupungua na usisahau njiti.
 
Kuna wanasema kuwa wakati unazaliwa ndio wakati mimba ilitunga.

Ukizaliwa asubuhi ujuwe kilikuwa cha breakfast hicho. Ukizaliwa mchana kilikuwa cha siesta, saa 4 asubuhi cha kutoroka kazini. Utajaza mwenyewe.
 
Kifo cha Yesu kinaeleweka kwamba kilifanyika nje ya Range hiyo.
 
Any details za kifo cha mtume please. timeline??
 
How do they?

listen when they stop working at that point we identify that the person is no longer alive or 'dead' and that means that dead person lost al evidenc of life since no 1 can take imformation from dead man
 

Maajabu by definition ni kile ambacho hakitokei mara nyingi, kwa hiyo uliyosema wewe hayo si maajabu kwa sababu inaonekana ndo kawaida, kwa mujibu wako.

Kwa hiyo kabla hata sijakuuliza hizo statistics zako umezipata wapi, kwamba wengi wanazaliwa usiku na kufa usiku hakujavunja sheria yoyote ya asili.

Mi nilifikiri utatuambia habari zinazoshabihiana na maji ya mto kupanda mlima.
 
listen when they stop working at that point we identify that the person is no longer alive or 'dead' and that means that dead person lost al evidenc of life since no 1 can take imformation from dead man

You are trying to evasive my question. What causes an "organ" to stop working? Regarding evidence, let me ask you this question: How well do you know Elbert Einstein?
 
You are trying to evasive my question. What causes an "organ" to stop working? Regarding evidence, let me ask you this question: How well do you know Elbert Einstein?

about elbert juct a bit,ila kuhusu swali lako lakwanza ni unflowing blood ambayo husababishwa na failure of lungs mishipa to contrast and expand
 
Go back to school and brush up on your English grammar.

Hahaha,

Grammar Nazi, Swahili Pazi. Gestapo Capo.Mufti wa sarufi mwenye miwani ya diwani.

Mazee watu wakifuatilia watanufaika. Mengine hata CNN tu inasaidia, sio lazima shule.

Plus the occassional Dickens, not to mention Chase. Tatizo Shigongo kakamata "The Wire".

Halafu hata excuse ya "sio lugha yetu" haikidhi, maana hata kwenye Kiswahili nako tunahitaji that "Shaaban Robert" aura.

And the occassional "Jumbe Tambaza diction" injection.

Wanagenzi wajibwede.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…