Maajabu ya kufa na kuzaliwa

Nathubutu kukuita mpu..mba.vu coz unataka kuanzisha dini yako wewe,bible inadeclare hivyo wewe unapinga?pole sana ndugu yangu,ili kuprove kuwa ukisemacho ni uongo tena mkubwa nenda kalale ktk barabara halafu gari likukanyage kichwa,tutaona.
 
Sijaelewa

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Wala hautaelewa Mkuu, we soma uyaache kama yalivyo huyu mleta uzi nina hakika hajafuata ushauri wa dr vizuri.
 
Leta huo ushahidi wa kisayansi na kiroho unao sema tukiamini hatufi basi hatutakufa kweli.
 
Wala hautaelewa Mkuu, we soma uyaache kama yalivyo huyu mleta uzi nina hakika hajafuata ushauri wa dr vizuri.

Hiyo ni Imani Mpya!! hata vitabu vya dini na wanasayanzi hawakuelewi!
 
Historia inasema hapo mwanzo Mungu alikusudia binadamu waishi milele bila kufa yaani binadamu angekuwa na seli ambazo hazizeeki lakini kutokana na uasi wa wazazi wa kwanza mayokeo ya uasi huo ilipelekea kufa kwa hali tofauti na sisi kwakuwa ni waridhi wa wazazi wetu hao tunakufa pia yaani tunakuwa na seli tulizo ridhi zinazokufa ndiyo maana tunakufa.

Sasa kwamba tujitune katika hali ya kutokufa au kujiweka katika hali hiyo haiwezekani hata kidogo labda kwani tutakuwa kunaenda kinyume cha asili.
 
Duhh kuna jamaa wana jua kumuudhu muumba, hivi tujiule kama kusinge kua nakufa je kunge kua na kuzaliwa? Kwali shetani kesha shinda nafs za watu wengi. Naomba mungu aniondoe duniani kabla lusifa aja tawala dunia, ameeeeeen
 
ni kweli kwamba.......
mimba nyingi zinatungika usiku
kwamba watoto wengi wanazaliwa usiku,, ,
kwa vifo nahitaji utafiti
sababu za msingi hazipo ila watu wengi wanaogopa kufanya mapenzi wakati wa mchana
kuhusu kujifungua ni kwamba moja kati ya natural ways za kufastisha kujifungua baada ya uchungu kuanza ni mazoezi kutembeando maana mchana baada ya kutembea wengi wanaishia kujifungua usiku, , it's natural kwa wale tulobahatika kupita wodi za kujifungulia aka labor word au wodi za wazazi tunajua ilivo tough mida ya usiku,,, kuzalisha wengi
 
Mhh Awe Mungu wa mbingu ufalmewako utukuzwe milele nakuomba kwa rehemazako uwasamehe wanaokudhi kwa ukosawao wa elim yakuJuan uwezo wako
Amin
 
Duhh kuna jamaa wana jua kumuudhu muumba, hivi tujiule kama kusinge kua nakufa je kunge kua na kuzaliwa? Kwali shetani kesha shinda nafs za watu wengi. Naomba mungu aniondoe duniani kabla lusifa aja tawala dunia, ameeeeeen
Mkuu atawale mara ngapi?
 
Nilichokuwa nakiona makaburini tukienda kuzika ni kuwa mwezi wa kuzaliwa na mwezi wa kufa haupishani kwa zaidi ya tatu, kwenye maandishi ya makaburi mengi niliyoyasoma.
 
Kila wazo ni sahihi kulingana na imani na kinavotetewa,usimwite mtu mpumbavu kwa mawazo yake,jaribu kuyaheshimu au upinge kwa hoja yenye kuuonyesha hoja yako uiaminio ili uwe umemfundisha na siyo kumvunja moyo kwa kutukana
Nathubutu kukuita mpu..mba.vu coz unataka kuanzisha dini yako wewe,bible inadeclare hivyo wewe unapinga?pole sana ndugu yangu,ili kuprove kuwa ukisemacho ni uongo tena mkubwa nenda kalale ktk barabara halafu gari likukanyage kichwa,tutaona.
 
Nathubutu kukuita mpu..mba.vu coz unataka kuanzisha dini yako wewe,bible inadeclare hivyo wewe unapinga?pole sana ndugu yangu,ili kuprove kuwa ukisemacho ni uongo tena mkubwa nenda kalale ktk barabara halafu gari likukanyage kichwa,tutaona.

umekurupuka ww. Mbona ameexclude ajali? Umekunywa?
 
jaribu siku moja kujiuliza hivi mungu aliletwa na nani,naye huyo alipata wapi wazo hilo,na je asingekuwepo huyo leo hii tungekua wapi? kazi ya mungu haina makosa,ni mpango maalumu lazima utimie iwe jioni au usiku yote sawa,kili ya kua mungu yu pamoja nawe,mpaka mwisho wa dahani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…