Picha hizi zinaonyesha jinsi ndege walivyokauka na kuwa kama mawe hii ni sababu ya ziwa hilo kuwa na chumvi nyingi (sodium carbonate) kutokana na majivu ya volcano au volcanic ash, Ni flamingo pekee wanaoishi na kutaga hapo kwa sababu wamezoea hali hii kwa mda mrefu.]