Maajabu ya ligi ya mabingwa ya Afrika

Maajabu ya ligi ya mabingwa ya Afrika

Nadhani ingawa Simba walifungwa jana LAKINI wameacha heshima huko Algeria kwa kutokubali kufungwa kikondoo.Ukiangalia mechi ilivyokuwa ni dhahiri lolote lingewezakutokea iwapo Simba wangetumia zile nafasi walizozipata vizuri. Kama Simba wataifunga As Vita na kuingia robo fainali usishangae kuwaona wakifika hata nusu fainali ILA niseme tu kwamba mechi na Vita itakuwa ngumu ngumu sana na kwa wale wanataka kuona mechi ya uhakika, basi mechi na As Vita ni mechi ya kutokuikosa. Nimeandika niliyoandika sio kama mshabiti wa Simba au Yanga bali mfuatiliaji wa mpira wa miguu mwenye upeo mpana kiasi chake.
 
Mkuu. Ficha basi uyanga wako na uweke utaifa kaka mnatia haibu sana kwa kukosa uzalendo. Simba inawakilisha nchi na sio klabu. Ila kesho itajulikana mbivu na mbichi sijui mtaweka wapi nyuso zenu.
Nyuso zipo hapa JF, mtu anachambuwa vitu kitaalam wewe unataka alete porojo? Simba ni under dog kundi hili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadhani ingawa Simba walifungwa jana LAKINI wameacha heshima huko Algeria kwa kutokubali kufungwa kikondoo.Ukiangalia mechi ilivyokuwa ni dhahiri lolote lingewezakutokea iwapo Simba wangetumia zile nafasi walizozipata vizuri. Kama Simba wataifunga As Vita na kuingia robo fainali usishangae kuwaona wakifika hata nusu fainali ILA niseme tu kwamba mechi na Vita itakuwa ngumu ngumu sana na kwa wale wanataka kuona mechi ya uhakika, basi mechi na As Vita ni mechi ya kutokuikosa. Nimeandika niliyoandika sio kama mshabiti wa Simba au Yanga bali mfuatiliaji wa mpira wa miguu mwenye upeo mpana kiasi chake.
Kama uliangalia mechi ya Vita na Al Ahly, Simba is out of this tournament, hakuna mazingaombwe yoyote tunayoyaweza kuwazidi Wacongo, uchawi, mpira, muziki hatuwawezi hata kimoja, angalia ratiba ya Ngwasuma siku hiyo wako wapi tutakuwa na wachezaji wa Vita baada ya kuchezea makalio ya Simba.

Angalia usichezewe makalio wewe kama ulivyozoea. Amefungwa bingwa wa kihistoria Africa itakuwa hao wacheza bolingo. Vita atakufa apende asipende. Njoo uwanjani siku hiyo uwasindikize. Alichezewa makalio Zahera na Jumamosi zamu ya wacheza sebene wenzake. Njoo umevaa shanga kabisa kama kawaida yako.
 
Wakifungwa na Simba watatafuta sababu nyengine

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama uliangalia mechi ya Vita na Al Ahly, Simba is out of this tournament, hakuna mazingaombwe yoyote tunayoyaweza kuwazidi Wacongo, uchawi, mpira, muziki hatuwawezi hata kimoja, angalia ratiba ya Ngwasuma siku hiyo wako wapi tutakuwa na wachezaji wa Vita baada ya kuchezea makalio ya Simba.

Sent using Jamii Forums mobile app

Samahani sijaelewa ulichoandiks. Umeandika kihunihuni hebu angalia nilivyoandika na wewe ulivyoandika.
 
Angalia usichezewe makalio wewe kama ulivyozoea. Amefungwa bingwa wa kihistoria Africa itakuwa hao wacheza bolingo. Vita atakufa apende asipende. Njoo uwanjani siku hiyo uwasindikize. Alichezewa makalio Zahera na Jumamosi zamu ya wacheza sebene wenzake. Njoo umevaa shanga kabisa kama kawaida yako.

Samahani, kumbe ushabiki/upenzi wa mpirs ni uhuni? Hebu nikuulize umelewa nini katika nilichoandika?
 
Nadhani ingawa Simba walifungwa jana LAKINI wameacha heshima huko Algeria kwa kutokubali kufungwa kikondoo.Ukiangalia mechi ilivyokuwa ni dhahiri lolote lingewezakutokea iwapo Simba wangetumia zile nafasi walizozipata vizuri. Kama Simba wataifunga As Vita na kuingia robo fainali usishangae kuwaona wakifika hata nusu fainali ILA niseme tu kwamba mechi na Vita itakuwa ngumu ngumu sana na kwa wale wanataka kuona mechi ya uhakika, basi mechi na As Vita ni mechi ya kutokuikosa. Nimeandika niliyoandika sio kama mshabiti wa Simba au Yanga bali mfuatiliaji wa mpira wa miguu mwenye upeo mpana kiasi chake.
Umeandika kizalendo mkuu hiyo mechi na Vita itakuwa ni mpambano mkali sana hakuna atayekubali kutoka kikondoo japo Simba yuko nyumbani ila kazi anayo.
 
Nadhani ingawa Simba walifungwa jana LAKINI wameacha heshima huko Algeria kwa kutokubali kufungwa kikondoo.Ukiangalia mechi ilivyokuwa ni dhahiri lolote lingewezakutokea iwapo Simba wangetumia zile nafasi walizozipata vizuri. Kama Simba wataifunga As Vita na kuingia robo fainali usishangae kuwaona wakifika hata nusu fainali ILA niseme tu kwamba mechi na Vita itakuwa ngumu ngumu sana na kwa wale wanataka kuona mechi ya uhakika, basi mechi na As Vita ni mechi ya kutokuikosa. Nimeandika niliyoandika sio kama mshabiti wa Simba au Yanga bali mfuatiliaji wa mpira wa miguu mwenye upeo mpana kiasi chake.
As vita wachezaji wote wapo very commitment wana discpline moja ya hatari ni vigumu sana kwa timu km simba kuwafunga ...wachezaji wa simba suala la discpline uwanjani ni Tatizo na sijui km wataweza kupata matokeo mbele ya timu yenye descpline km as vita

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Andika kiswahili wapo very commitment ndio nini?Discpline ndio lugha gani??
Descpline!!!!
Njoo uwanjani uangalie mpira wacha kujifanya Sheikh Yahya.
 
Simba ataishangaza Africa siku ya jumamosi, ni suala la muda tu! Kama Al Ahly alikufa hapa Taifa, As Vita asife ana kitu gani hasa hah hah hah hah
 
Back
Top Bottom