Habari wakuu,
Nimekuwa nikijiulza hivi sayansi ya lugha duniani ikoje, mbona duniani lugha ni nyingi ila kuna maneno ambayo kila taifa lazma wawe nayo na maana Ni moja.
Utakuta watu wa Asia kama waarabu, waajemi yani wahindi, Malaysian, Indonesian n.k wanaingiliana sana maneno kwenye lugha zao Ila haishangazi sana sababu wote ukanda mmoja.
Pia nimekutana na maneno ya lugha ya Malasyia yanafanana sana na kiswahili na maana ni moja mfano chapati, maskini (hli neno lipo kwa waarabu na waajemi japo kwenye Kiswahili hIli neno asili yake ni arabuni).
Yote kumi Ila haya maneno mawili yanatumika na lugha nyingi sana na watoto wa mataifa mengi wanatamka udogoni ,nayo Ni MAMA na BABA .
Haya maneno yanatamkwa kwenye lugha nyingi sana mfano kichina,kihindi,kizulu,kibengal,kingereza, na lugha tofaut tofaut.
Naomba kujua kutoka kwa wabobezi wa lugha hvi hii imakaaje, maneno Kama haya kutumika karbia dunia nzima sababu inaweza kuwa nini?
Ahsante.