Meneja CoLtd
Senior Member
- Mar 6, 2021
- 122
- 143
Utamkaji wa maneno ya kingereza unatofautiana sana katika dunia, na hii yote inatokana na kuenea kwa lugha ya kingereza duniani.
Duniani ambapo watu wake wanatofautiana tamaduni, desturi na hata lafudhi, nahii kupelekea baadhi ya maneno ya kingereza kua na utamkaji tofautitofauti.
Lakini asili ya lugha ya kingereza ni kizungu na kimarekani (British and America).
Wamarekani katika utamkaji wao wa maneno wanaidhihilisha (R) mfn;
Car - wanatamka mpaka R ya mwisho yaani /ka:r/
Lakini Mzungu yeye;
Car - atatamka bila kuitaja R ya mwisho yaani /ka:/