Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Kama halikufanyika jambo na huyu muuaji wa Watanganyika akaendelea kutawala hadi 2030 ataiacha nchi pabaya sana kiuchumi na hata kiusalama , maana visasi vitakuwa vingi, damu za Watanganyika zaidi ya 10,000 aliochinja lazima zilipiwe kisasi.Siulizi kwa kejeli wala kebehi. Nauliza kimaanani kabisa.
Watu walioshinda uchaguzi kwa 98%….
Watu waliopigiwa kura milioni 31+….
Watu ambao serikali yao inawakamata na kuwaweka ‘wahaini’ jela na magerezani….
Watu ambao wanaamini kabisa kuwa watu wote waliouliwa Oktoba 29 waliuliwa kihalali kabisa…..
Watu hawa ambao wanakana kabisa kuhusika na utekaji wa watu unaondelea nchini…..
Watu hawa ambao wanaona ni sawa kabisa ‘kupiga mikwaju’ wale wote ambao wanaonekana kuleta sijui vurugu….
Watu hawa hawa ambao wanadai kwamba mauaji ya Oktoba 29 yalikuwa ni kazi ya kutukuka…..
Watu hawa hawa ambao siku zote hawataki kuzisikia habari za katiba mpya…
Eti watu hawa hawa leo hii ndo wanataka maridhiano! Eti wanataka katiba mpya.
Sasa hawa watu wanataka maridhiano ya nini? Wamemkosea nani kwani?
Manake wao kila wakifanyacho na kila ambacho washakifanya, hakuna kilicho kibaya.
Sasa maridhiano ya nini tena? Halafu ni maridhiano na nani?
Ni maajabu yapatikanayo Tanzania tu ambapo watu waliochaguliwa kwa asilimia 98 za kura, eti ndo hao hao wanaotaka maridhiano!
Siulizi kwa kejeli wala kebehi. Nauliza kimaanani kabisa.